Kiswahili cha Mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi

mimi hii huwa inanshangaza hasahasa kpndi cha mwezi mtukufu 1-kula(kufuturu) 2- njaa(swaumu) 3: chakula (futari)
 
Nafikiri muungwana kilicho mfurahisha zaidi hapo sio tu suala la udondoshaji wa maneno katika aina ya uongeaji wa watu wa pwani, bali pia namna wanavyo ya tamka katika lafudhi yao tamu na laini zaidi, "sie watu wa pwani ni mahili wa lugha ati..!
 
Nikukosoe kidogo..........neno sahihi ni "mahiri"

Ahsante
 
Back
Top Bottom