Kiswahili cha Magufuli kinahitaji msasa

Msije shangaa siku moja anaamka anatoa amri kisukuma ndiyo lugha ya taifa
 
..pumbavu wewe... Misamihati ndo nini sasa.. Mnajifanya kujua wakati ni upuuzi mtupu.
 
Msije shangaa siku moja anaamka anatoa amri kisukuma ndiyo lugha ya taifa
Ninaifikiria hiyo siku Wahaya na Wachaga watakuja juu na nchi itagawanyika. Kaskazini itakuwa Kichaga lugha ya kanda na Magharibi Kihaya lugha ya kanda
 
Rais Idd Amin naye alikuwa na tatizo kama la rais wetu. Inawezekana ni coicidence tu au ni nn? Maana naona wana vitu vingi wanavyofanana.
Amin alikua na confidence sana, wazungu walipenda kufanya mahojiano nae na kuyarusha kwenye TV.
 
Kuna watu wamekuwa wakijadili umahiri wa Lugha ya Malkia kwa MTUKUFU MHESHIMIWA RAIS DOKTA Magufuli.
Lakini kiukweli tatizo halipo katika Lugha ya malkia bali Lugha kwa ujumla
Ukimsikiliza kiswahili chake sio standard anatafuna maneno na mengine hawezi kuyatamka ana misamihati michache sana ya kiswahili
wataalamu wa linguistic pale BAKITA na TUKI fanyeni kazi yenu
Mungu amegawa vipaji tofauti,kujua lugha ni kipaji ila hata wasio na kipaji wakipigwa msasa wanakuwa na angalau.
Jaribu kujitathimini.
 
Mbona hata Wewe pia unahitaji MSASA wa hiyo hiyo lugha na pia wa UFAHAMU wa mambo kwani kuna mahala hapo juu umechekesha na sasa tunakuona tu " kituko ". Jifunze kutofautisha kati ya maana ya neno DOKTA na DAKTA na hasa matumizi yake. Ulichokifanya ni sawa sawa tu na Maiti kutoa ushauri kwa Marehemu!
 
Mtoa post, kwasasa napita lakini endapo nitapata milioni saba (7,000,000) za kulipa TCRA niitarudi kuchangia huu uzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom