Kiswahili cha Dar

Darwin

JF-Expert Member
May 14, 2008
908
56
Jamaa zangu watanga wakifika Dar wanasema kiswahili cha Dar kinatia aibu.

Uzuri wanasema uzuli
Msafiri wanasema msafili
Roho wanasema loho
Safari wanasema safali
Hivi skuli za Dar alphabet zao imekosekana R?
Katika nchi nzima sehemu yenye poor swahili ni Dar
 
Wengi hujifanya tu sio kuwa lugha zao za asili zinakosa R. Imekuwa mbwembwe siku hizi watu kusema l badala ya r. Hali kama hii katika kusema sio tatizo kwani ni mambo ya kupita, tatizo linakuja pale watu wanapoendekeza tabia mpka kujisahau katika maandishi, kama inavyotekea sasa katika maandishi ya mkato (bac, m2, ctaki n.k) yanayotumika katika sms na kuletwa katika maandishi rasmi.
 
Jamaa zangu watanga wakifika Dar wanasema kiswahili cha Dar kinatia aibu.

Uzuri wanasema uzuli
Msafiri wanasema msafili
Roho wanasema loho
Safari wanasema safali
Hivi skuli za Dar alphabet zao imekosekana R?
Katika nchi nzima sehemu yenye poor swahili ni Dar
tena hali hiyo inachangiwa na wanahabari.hebu sikiliza watangazaji wa redio mbalimbali na ona makala ktk magazeti yetu,ni aibu.tubadilike watz sio kila kitu tunyooshewe na BAKITA.
 
tatizo sio Dar pekee... ni nchi nzima na hasa mikoa ya iringa, rukwa, kigoma, ruvuma(kiasi), pwani na baadhi ya tanga
 
Back
Top Bottom