Yeah hakuna kuchelewesha
Mara nyingi waafrika tunacheat kwenye mapenzi so ukipata usicheleweshe
Mi nilikua naongelea watu ambao wako kwenye uhusiano hii ingine inafahamika ni 'hit and run' spini 120 kwenye kona.
Yeah hakuna kuchelewesha
Mara nyingi waafrika tunacheat kwenye mapenzi so ukipata usicheleweshe
Uvumilivu wa nini? Kwani kuna uhaba mpaka vipatikane kwa ku-ration?....Ngumu sana hiyo lagatege, ndio maana blacks mabusu ni gizani tu kwani baada ya busu joto linapanda mtu anatafuta kaupenyo kako wapi amemalize mambo...Uvumilivu zero!!!
I strongly disagree!50% of all people kiss before they turn 14.
Kissing helps reduce tooth decay. Kissing increases the mouth's production of saliva, and saliva helps clean the mouth thus aides prevention of tooth decay
Inawezekana Kibunango sio 'mbongo'Asante Kibunango,mimi nimeyapenda mabusu yote ila mbona hamna wabongo kweny picha zako?
Ukimpata mjuzi hata siku moja moja mnaishia kubusu na kupapasana tu si lazima ku do.
:teeth::teeth::teeth::teeth::teeth:mnamchokoza huyu jamaa aliyekuwa amelala, sijui akiamka niweka wapi aibu yangu, maana saizi yake haifichiki akikasirika