Kiss mpaka amalize form six!!

Kaka hao wato ndo walivyo, me pia niliahidiwa hivyohivyo na amemaliza hiyo 6 february 2012 lakini mpaka leo hata kiss kuptia simu sijawahi kupewa.. Kiukweli inahitaji moyo sana... WANAWAKE WAKO WENGI SANA TENA WAZURI MARADUFU
 
Inategemea mazingira aliyolelewa jaman mcmhukumu bure! Kuna family nyingine bint wa advance bado analelewa very strictly ndo maana anaogopa may be mkikiss yatazuka mengine! Wengine 2likua hivyo hivyo enzi hizo..
My advice:mvumilie bt hakikisha hana mwingine at the end of the day utakula mbivu mkuu
 
Mama Isaac.." Alievaa kiatu ndiye anaejua msumali unachomea wapi".. Inaumiza sana kwakweli, binafsi nipo chuo, huku kuna "looseball" kibao zinajitokeza, yaani ni rahisi kupata mchezo ukiwa chuo tena bure kuliko popote duniani, ila mtu unajisacrifice kua ngoja nivumilie mwenzangu kule akimaliza 6 atanipa ila miezi inapita ukimwambia nikiss hata ktk simu tu anakwambia "baadae".. Miezi inaenda hivyo, KUFUMBATIA MAJI KAMA JIWE NI UJINGA
 
vi2 vinavyopatikana kwa urahic hua vinacost sana mkuu, chuo wamejaa matapeli wa mapenzi 2 nothng else nilipita chuo so i u/stand maisha ya chuo vizuri sana! I insist busara ni muhimu sana katika kila ukifanyacho na cku zote haraka haraka haina baraka!
 
Mwanzo wa ngoma ni lele! Anaogopa akikupa kiss ndo mwanzo wa kutaka na mengine. Mimependa msimamo wake - nalaani matamaa yako - USHINDWE NA ULEGEE
 
Kaka hao wato ndo walivyo, me pia niliahidiwa hivyohivyo na amemaliza hiyo 6 february 2012 lakini mpaka leo hata kiss kuptia simu sijawahi kupewa.. Kiukweli inahitaji moyo sana... WANAWAKE WAKO WENGI SANA TENA WAZURI MARADUFU

Sasa unanishauri nifanyaje?
 
Inategemea mazingira aliyolelewa jaman mcmhukumu bure! Kuna family nyingine bint wa advance bado analelewa very strictly ndo maana anaogopa may be mkikiss yatazuka mengine! Wengine 2likua hivyo hivyo enzi hizo..
My advice:mvumilie bt hakikisha hana mwingine at the end of the day utakula mbivu mkuu

Bt mbona hom kwa yuko free mno I mean hawako strict??
Sasa inakuaje ivyo!!
 
Mwanzo wa ngoma ni lele! Anaogopa akikupa kiss ndo mwanzo wa kutaka na mengine. Mimependa msimamo wake - nalaani matamaa yako - USHINDWE NA ULEGEE

Nani anatamaa hivyo ni vi2 vya kawaida kwenye relation ship mkubwa!!!
 
Na alaaniwe m2 alaaniye wenzake!
Ashidwi m2!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom