Kiss Kiss Kiss JF... Mwaaaah!

Khaaaa! mimi ni mdada weyeeee! huyo babu yako hukagua chuchu za kiume??? Mbona waniogofya tena???
Babu macho yana mtoto wa jicho. hata akishika gynecomastia kwake hewala.
Anaweza gusa makalio akazani embe dodo
 
Babu macho yana mtoto wa jicho. hata akishika gynecomastia kwake hewala.
Anaweza gusa makalio akazani embe dodo

Khaaa!!! ili neno gani vileeeeee sipendi matusiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!
 
teh teh teh, waonja vyoooote vyakula eeeeh?? lakini sidanganyiki lakini nashawishika mpaka babu mwenyewe aseme teh teh teh..

wajua tena babu yetu kibogoyo so lazima tuhakikishe nyama imelainika vya kutosha na haina mifupa ili amumunye kwa raha zake
 
wajua tena babu yetu kibogoyo so lazima tuhakikishe nyama imelainika vya kutosha na haina mifupa ili amumunye kwa raha zake

teh teh teh, tah tah tah, tih tih tih, teh teh teh, mie babu alipojiwakilisha niliyona ana meno yooote!!! we mjukuu wake ndio wale eeeeh??
 
Romance jina langu, JF nia yangu, GT watu wangu naomba mnipokee tena binti mnyenyekevu....
Nilipigwa burn ya maisha ila nimejirekebisha... teh teh teh

Kiss Kiss Kiss JF... Mwaaaaaaaaaaaah!

[h=2]The Following User Says Thank You to Romance For This Useful Post:[/h]
Kaizer (Today)
 
Romance jina langu, JF nia yangu, GT watu wangu naomba mnipokee tena binti mnyenyekevu....
Nilipigwa burn ya maisha ila nimejirekebisha... teh teh teh

Kiss Kiss Kiss JF... Mwaaaaaaaaaaaah!

karibu sana Romance......dah....
 
nashangaa nilikuwa sijaona huu uzi, ivi watumia kinywaji gani manake ndo idara yangu....

aaaiiiii!!!! mimi napenda kileviii chochoteee mtumiaji wa kweliiii vyooooote kaziniiiiii teh teh teh
 
Back
Top Bottom