Kiss FM wamechafua hali ya hewa.

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,285
Ndo nimefungulia radio hapa 0645 MAM, kwa raha zao, bila wasiwasi wala presha, DJ ameweka wimbo wa Brown Eyes wa Destiny's Child, nikajua labda amekosea mara moja, na nyimbo zinazofuata za tartiiib, mwendo wa kinyonga.
Unaweza ukawa hujapata mantiki hapa, ila kwa Jumatatu hii, siku ya kwanza ya juma, asubuhi ya kuingia kuwajibika, wanaweka nyimbo za taratibu, si kuchochea usingizi huku? Sasa hivi unakuja wa Luther Vandross...
Mpangilia vipindi wa Kiss FM fikiria upya kuhusu hili.
 
asikile kituo kingine kama hicho kinamletea tabu, mmmmhhhhh!!!!!!!! na hii baridi isije ikawa yuko na ........ na kamwambia subiri kibao kiishe, nilikuwa napita tu jamani msininukuu vibaya
 
Nihamie wapi sasa? Hivi vi-FM radio vya Dar ambavyo hata huku Yombo havisikiki? Au Radio Uhuru/TBC ambako karibu kila utakachosikia kinachefua?

fungulia ile station...kuna mmama anapenda kusema "nzuriii"...desh desh asifiwe!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom