Kisiwa cha milele cha Paradiso

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,008
2,429
Paradiso ndio ipo kati milele ya mbingu na sehemu anayoishi Mungu,Mwana wa Milele,Roho[Infinite Spirit],na wapambe wao. Hiki Kisiwa cha katikati ndichi kitu kikubwa katika vitu vyote vilivyojengwa kwa mpango,katika mbingu yote. Viumbe vyote vyeneye ufahamu vya Munguvipo katika makazi ambayo ni material,kwa hiyo utawala wake lazima ufanyike kutoka sehemu ambayo ni material,literal[kinaganaga]. Pia lazima isemwe tena vitu vya kiroho na viumbe vya kiroho ni vitu vya kweli.

Paradiso imejengwa vizuri kikamilifu,na pia uzuri wa hiki Kisiwa cha Mungu unaonekanakatika upeo mkubwa wa akili wa wakazi wake,utukufu wa hiki Kisiwa cha katikati katika kutolewa bila kikomo nafsi ya Kiroho takatifu-mwangaza wa maisha[personalty]. Paradiso ipo tokea zama za zama;hakuna kumbukumbu zilizowekwa au simulizi zozote kuhusu chanzo cha Kisiwa cha Mwangaza wa Maisha.
MAKAZI MATAKATIFU
Paradiso ina kazi nyingi katika utawala wa mbingukwa viumbe iko kimsingi kama makazi ya Mungu. Mungu yupo katikati kabisa ya upande wa juu wa huu mduara. Kuwepo kwa Mungu Baba kunazungukwa na kuwepo kwa Mwana wa Milele,na wote wamevikwa na utukufu mkubwa wa Roho.
Mungu anaishi,amekuwa anaishi,na milele ataishi katika makazi haya ya katikati. Kila wakati tumemkuta pale....

 
mbona untaulisha chaka na mada yako? unatukumbusha uwepo wa paradiso au umetumia lugha ya mficho kufananisha utawala wa Chama Cha Uchakachuaji??
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom