Kisia huyu ni nani?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,112
bush-obama.jpg



bush-obama.jpg

 
yaani wazungu kweli hawataki kutawaliwa na Mtu mweusi na nywele za kipilipili,
Naona picha hii ya photoshop itamuwezesha kupata kura nyingi huko USA
 
Slaa huyo ndo Kawa mweupe hivyo Kweli milioni 7 kwa mwezi si mchezo
Kwani Sindbad wenu a.k.a. John Walker/JK analipwa milliooni ngapi vile kwa kuzurura dunia nzima? Ndiyo maana kapauka mithili ya mwanga
aliyejipaka unga?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom