Elections 2010 Kishindo cha Dr. Slaa chafunga Chuo cha Monduli!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Gazeti la kila siku la Tanzania Daima limeripoti leo ya kuwa Chuo cha Monduli kimefungwa kutokana na kampeni ya Dr. Slaa ambayo imeonyesha kwa uwazi ya kuwa wanafunzi hapo chuoni watakipigia kura Chadema na Dr. Slaa.

Hizi ni njama nyingine za CCM, JK na Lowassa za kuchakachua matokeo ya kura kwa kuwazuia wapigakura wasiweze kutumia haki yao ya kidemokrasia ya kupiga kura................maana wengi wao walijiandikisha kupiga kura hapo Monduli sasa wanalazimika kwenda makwao ambako hawataweza kupiga kura kwa sababu hawajajiandikisha huko......
 
Yes...Niliipata taarifa hii kama 4days ago, kutoka kwa jamaangu mwanachuo!
Na kimsingi sababu ni hiyohiyo kama ilivyoainishwa hapo juu!...Ni mambo ya aibu sana, lakini hayawezi kubadili nyoyo za wapiga kura!
Wanajisumbua!
Nanyi wanachuo zugeni hapahapa Arusha hadi 31/10, mmalize kazi!
 
Dah!
Kweli sisiemu wamechoka. Kuna siku hiki kizazi kinachoteseka na haya madudu ya sisiemu watachukua hatua zisizo za kawaida kudai haki yao ya kikatiba ya kupiga kura. Siko hiyo yaja.
 
aiseee,ni kwa sababu hiyo kweli au ndio utaratibu wa chuo hicho kufungwa mda kama huu?

kama sio utaratibu,kwanini wanafunzi hao wasigome na kudai haki yao ya kubaki chuo kusoma?
 
Dah!
Kweli sisiemu wamechoka. Kuna siku hiki kizazi kinachoteseka na haya madudu ya sisiemu watachukua hatua zisizo za kawaida kudai haki yao ya kikatiba ya kupiga kura. Siko hiyo yaja.

Wagome? Umesahau ya Mgaya wa TUCTA? kwa wale watakaoweza kuzunga hata monduli town wazuge siku hizi chache.
 
ccm bwana ...... Full kuweweseka!!!! Kazi ipo!!!!
inakuwaje mambo ya muhimu ya nchi kama vyuo kuhusiswa na siasa, jamani yaani hatutakuwa sirius hata mala moja, tutenganishe siasa na utendaji! Kweli tunahitaji katiba mpya yaani mkuu wachuo unaambiwa funga chuo unafunga simple like that!?? Siasa ikitofautishwa na utendaji ndiyo tutaendelea sasa vyuo vikuu vyote vimefungwa kisa uchaguzi why!?? Haiwezekani mambo mengine yakaendelea?
Hata wakuu wawilaya hawafanyi kazi tena za kawaida wanasema zinafanyika uchaguzi ukiiisha yaaani kweli huo ndo ujuha sasa!
Na haya mambo ya kukarabati barabara wakati wa uchaguzi ni upuuuuzi, ntaaambiwa nimetukana naludia huu ndo ujuha na upumbavu mkubwa, siyo ujinga upumbavu!
 
Nawasihi wasiondoke hapo wazuge hapa mjini Arusha mpaka tarehe 31/10 na wakimaliza kumbwaga mtu waende makwao
 
NEXT, watazifunga hospitali za Rufaa zote, maana huko wagonjwa, manesi na wanafunzi wameonekana kuipenda CHADEMA.

Mwaka huu mnalo.....labda mbebwe!
 
Nawasihi wasiondoke hapo wazuge hapa mjini Arusha mpaka tarehe 31/10 na wakimaliza kumbwaga mtu waende makwao
Sababu ya kufunga ni ili kile kituo kiwe nullified...! Hivyo, hata wakizuga masanduku na makaratasi ya kupigia kura hazitaletwa kwenye kituo...! Nadhani dawa ni kuchukua kama fundisho ili for the next time wanavyuo vyote wajiandikishe kwenye vituo nje ya vyuo, lakini vya karibu na vyuo vyao...! Ili wakifunga wawe na uwezo wa kuzuga, na bado wakaweza kufika kwenye vituo vyao...!
 
hata chuo cha kleruu hapa kwetu Iringa ambapo chama cha mapinduzi kinaamini huwa kinashinda kwa kishindo kimefungwa.....
 
Back
Top Bottom