Kisarawe: Jimbo maskini kuliko yote Tanzania

Ki historia, ni wilaya ya kwanza kuanzishwa Tanzania na mkoloni

Lakini kimaendeleo ni maskini kuliko zote Tanzania na hata wilaya ya Mafia ina afadhali

Pia msisahau kuwa ni wilaya ambayo jimbo lake limekuwa likiwasilishwa na CCM tokea uhuru...na moja kati ya waliowahi kuwa wabunge wa Kisarawe ni pamoja na Marehem Kigoma Malima (ambaye mwanae Adam ndiye mbunge wa Mkuranga), Athumnani Janguo (aliyewahi kuwa mkurugenzi wa Bandari ) na sasa hivi jimbo hili limeshikiliwa na jamaa anayeitwa SULEIMAN JAFO ambaye ame spend si chini ya milioni 400 ili jina lake lipitishwe kwenye Chama na baadae kushinda kirahisi kwenye ubunge. Sasa hizo pesa zenyewe kumbe alikuwa kaziiba kule alikokuwa anafanya kazi kwenye NGO ya PLAN INTERNATIONAL sasa hivi amekubaliana nao kuwa atazirejesha kidogo kidogo.

Tangua ateuliwe kuwa mbunge hakuna lolote alilolifanya la maana. na tunaweza kusema kuwa kazi kubwa inafanya na NGO ambazo zinachimba visima vya maji na kutoa huduma za afya. Sasa CCM hatujui mmetuletea mbunge dizaini gani kwani hana uadilifu. Kama aliweza kuwaibia hao Plan International ndio atashindwa kutuibia sisi wananchi wa kawaida?

Lakini kama mbunge hajafanya lolote zaidi ya kula posho za milioni 15 kila mwezi kama mbunge huku jimbo lake likiongoza kwa watu walio wasio jua kusoma au kuandika.

So far alichokifanya ni kutoa ardhi yenye hecta 200,000 kwa shirika la kidini ambalo limesema kuwa ile ardhi ni kwa ajili ya investment ya kujenga nyumba za ibada

Jamani hicho ndio kilio chetu wana Kisarawe. Na tunaomba msaada wenu wa kimawazo namna ya kufanya ili hali zetu ziwe walau na afadhali.

Umeandika kiuchochezi zaidi.

Kisarawe ni mji wa zamani sana na vile vile ulikuwa makao makuu ya Coast province ambayo ilikuwa inajumuisha morogoro, Dar, na pwani. Mkuu wake alikuwa anakaa Kisarawe wakti kabla ya uhuru na hata baada ya uhuru.

Kwa wachumi na tuliowahi kukaa Tz nitakwambia kuna zaidi ya unavyofikiri na kubainisha. Ila sababu ni zile zile zilizoiua Tanga japo wana bandari na Mtwara na kuzipaisha miji kama Mwanza na Arusha.

Fikiria kwanza kwanini Kisarawe masikini? Je wana Barabara nzuri au ile inayoishia pale kwa mkuu wa wilaya. je wamewezesha kiasi gani toke uhuru? je wana umeme? na juhudu gani zinazotumika kuinua uchumi wake na wa watu wake.

Nafikiri unahitaji darsa sana hapa hususan la kiuchumi. Kumbuka hakuna hata sehemu moja inayoweza kuinuka kiuchumi pasi na serikali kutia mkono wake.

waswahili wavivu na wanaendekeza ushirikina

wanataka kila kitu wafanyiwe

saizi yao tuu

Mkuu ebu nikumbushe, ni wapi katika sehemu ya Tanzania watu walikuwa wanachunwa ngozi kwa issue za ushirikina, wapi tena albino walikuwa wanauwawa kwa visa vya ushirikina, wapi tena vikongwe wanauwawa kwa mitikasi ya ushirikina. No research no right to speak.
 
Umeandika kiuchochezi zaidi.

Kisarawe ni mji wa zamani sana na vile vile ulikuwa makao makuu ya Coast province ambayo ilikuwa inajumuisha morogoro, Dar, na pwani. Mkuu wake alikuwa anakaa Kisarawe wakti kabla ya uhuru na hata baada ya uhuru.

Kwa wachumi na tuliowahi kukaa Tz nitakwambia kuna zaidi ya unavyofikiri na kubainisha. Ila sababu ni zile zile zilizoiua Tanga japo wana bandari na Mtwara na kuzipaisha miji kama Mwanza na Arusha.

Fikiria kwanza kwanini Kisarawe masikini? Je wana Barabara nzuri au ile inayoishia pale kwa mkuu wa wilaya. je wamewezesha kiasi gani toke uhuru? je wana umeme? na juhudu gani zinazotumika kuinua uchumi wake na wa watu wake.

Nafikiri unahitaji darsa sana hapa hususan la kiuchumi. Kumbuka hakuna hata sehemu moja inayoweza kuinuka kiuchumi pasi na serikali kutia mkono wake.

Mwaga shule....
 
hilo la ushirikina na watu wa pwani lipo acha kuhamisha mjadala watu wanaendekeza sana imani za kichawi ndio maana hawana maendeleo
Pascal Mayala kaelezea vilivyo watu wa huko kisarawe walivyo wavivu. Sehem ilimshinda Kigoma Malima ndio wataweza wengine?
Kwa nini Malima aliweza kuwaamsha waislam wenzie sehem zingine na wakaaamka (kutokana na maelezo ya mohamed said kwenye ule mjadala mwingine) lakini akashindwa kwao huko kisarawe?

Rufiji nako hali ndio hiyo hiyo halafu mnalalmika kuwa mnabaguliwa kwa sababu za kiserikali. badala ya kukaa kulalamika kwa nini hamuanzi kujisaidia wenyewe?
 
Matonya na wenzake mitaani wanatokea kisarawe?
 
Kwani Rufiji na Kisarawe siku hizi kuna ushirikina wa kuchuna ngozi au kuchukua viungo vya albino? au lle radi maalum?

kazi ipo.

Umeandika kiuchochezi zaidi.

Kisarawe ni mji wa zamani sana na vile vile ulikuwa makao makuu ya Coast province ambayo ilikuwa inajumuisha morogoro, Dar, na pwani. Mkuu wake alikuwa anakaa Kisarawe wakti kabla ya uhuru na hata baada ya uhuru.

Kwa wachumi na tuliowahi kukaa Tz nitakwambia kuna zaidi ya unavyofikiri na kubainisha. Ila sababu ni zile zile zilizoiua Tanga japo wana bandari na Mtwara na kuzipaisha miji kama Mwanza na Arusha.

Fikiria kwanza kwanini Kisarawe masikini? Je wana Barabara nzuri au ile inayoishia pale kwa mkuu wa wilaya. je wamewezesha kiasi gani toke uhuru? je wana umeme? na juhudu gani zinazotumika kuinua uchumi wake na wa watu wake.

Nafikiri unahitaji darsa sana hapa hususan la kiuchumi. Kumbuka hakuna hata sehemu moja inayoweza kuinuka kiuchumi pasi na serikali kutia mkono wake.

Ni kweli kuwa serikali haija chukua hatua za kutosha kuweza kuinua hali ya uchumi wa pwani kwa ujumla. Lakini vilevile ni lazima tukubali kuwa wananchi wa mkoa huo pia wanachangia kwa sehemu kubwa kuzorota kwa maendeleo kutokana na UVIVU uliokithiri pamoja na kukumbatia mila mbovu na zisizo na tija kwao kumbuka jitihada kwanza msaada baadaye.
 
Mkuu ebu nikumbushe, ni wapi katika sehemu ya Tanzania watu walikuwa wanachunwa ngozi kwa issue za ushirikina, wapi tena albino walikuwa wanauwawa kwa visa vya ushirikina, wapi tena vikongwe wanauwawa kwa mitikasi ya ushirikina. No research no right to speak.

Ni kweli kabisa mkuu ila kumbuka pia kuwa hayo yote yalifanyika katika harakati za kujikomboa kiuchumi tofauti na wana pwani wanaotumia ushirikina ili kukwamisha wenzao wanaojaribu kupambana na umasikini I mean wachuna ngozi waua albino nk walikuwa wakifanya kitu sahihi kwa njia isiyo sahihi.
 
Matonya na wenzake mitaani wanatokea kisarawe?

Kinacho gombewa hapa ni umasikini kwa ujmla wake na si masikini fulani aliyetoka wapi,kwa hoja kama yako tungeweza kupata kuwa mwenyeji hasa wa dsm angekuwa masikini mara kumi kuliko wa kigoma au mara kama tu si muingiliano na tamaduni za wageni wanaokimbilia fursa nyingi za kujikomboa na umasikini ambazo wenyeji hao hawakuziona ama kuzichangamkia,na matokeo yake ni kujikuta wakisherehekea maendeleo ya wenzao ndani ya nchi yao.
 
Ni kweli kuwa serikali haija chukua hatua za kutosha kuweza kuinua hali ya uchumi wa pwani kwa ujumla. Lakini vilevile ni lazima tukubali kuwa wananchi wa mkoa huo pia wanachangia kwa sehemu kubwa kuzorota kwa maendeleo kutokana na UVIVU uliokithiri pamoja na kukumbatia mila mbovu na zisizo na tija kwao kumbuka jitihada kwanza msaada baadaye.
nakushauri ufikirie kiuchumi na sio kisiasa.

Nikikuulize je Serikali imepeleka barabara na Umeme huko? Ni vipi umeme ufike mosho , arusha na usifike Kisarawe au Rufiji ambako ni karibu na Dar na ndiko ilikokuwa mji mkuu wa coast province kabla na bada ya uhuru.

Je utawezaje kuwazuia vijana kutembea kwa mguu kuja dar kufanya biashara ndogo ndogo, kwani kwao hakuna umeme wala maji wala barabara.

Nikuulize je Serikali inachukua juhudi gani za makusudi kuinua hali za watu wa Kisarawe na Rufiji? Na kisha wananchi wa huko wakazipinga na kuzikataa.

Kiuchumi tunasema hakuna maendeleo pasi na Serikali kuingiza mkono wake katika kuchochea maendeleo hayo.

Fikiri kiuchumi na sio kisiasa.
 
Usifananishe mikoa iliyo na watu walioamka na pwani ambako watu wamelala usingizi wa pono. Kuna shule imeshajengwa huko lakini hakuna wanafunzi. Umeona hapa kuna watu wamesoma Minaki Secondary School lakini shuleni hapo kulikuwa hakuna mwanakisarawe hata mmoja.
 
hata Bagamoyo nayo ni maskini zaidi, kuna vijiji kama vikawe yaani watu wako kilomita 40 toka mjini lakini nimaskini sana, ukiwaona wakazi wakule wamekonda utafikiri misikule, hakuna maji , umeme shule, wanatembea kilomita 15 kufuata shule, wao kila siku kuuza viwanja kama uamini kamuulize Mstaafu Mkapa ana hekali kibao analima nyasi za kuuza ulaya.
 
Back
Top Bottom