Kisanduku cheusi chapatikana Comoro

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2008
2,268
333
Kisanduku cheusi chapatikana Comoro

Imeandikwa na Mwandishi wa BBC.






Aina ya ndege iliyopata ajali.
Maafisa wa Ufaransa wanasema waokoaji wamepata kinasa sauti cha ndege ya Yemen iliyoanguka pwani ya visiwa vya Comoro hapo jana.
Serikali ya Ufaransa ambayo imeongoza shughuli za uokozi imesema kifaa hicho kilipatikana kilomita arobaini kutoka kisiwa kikuu cha Comoro.

Wakati huo huo taarifa zimetolewa za jinsi msichana wa miaka kumi na minne alivyonbusurika katika ajali hiyo. Mtu aliyemuokoa amesema alining'inia kwenye mabaki kwa saa kadhaa kabla ya kuokolewa.
 
Back
Top Bottom