Kisa kilichokuaibisha.

duuh! Mentor ya kwako nondo. Kwanza pipo wote hao na mmelala wote lazma kila mmoja aje na lake. Sasa uliwaelewesha vipi
 
Last edited by a moderator:
Dah mi siku moja nimejifunga taulo si nikapiga sarakasi we! Ngoma nje nje watoto waliokuwepo walikula kona niaje!
NIKAHAMA MTAA.
 
hahahahaha Tangopori si ungewaambia wampige mawe!
 
Last edited by a moderator:
watu8 embu tupia chako tukione
 
Last edited by a moderator:
Naishi kwenye apartment na kuna siku nikiwa bafuni naoga, nikasikia mlango ukigongwa...
Baada ya muda ukapita ukimya,mgongaji alikuwa ni deliverer wa DHL kaleta mzigo wangu uliotumwa kutoka China naye alikua kautua huo mzigo mlangoni na tayari kasepa...
Basi kwa shauku nikaenda mlangoni nikiwa hata sijajifunga taulo wala kuvaa bukta(nilikua mtupu)...
Nikafungua kidogo mlango, nikacheck upande wa kushoto na kulia hakukua na mtu, mmmh nikatoka nje vile vile nikiwa mtupu ili nilibebe lile box faster faster kabla ya mtu yoyote kutokea...
Astaghafilulah!...jamani mlango si ukajifunga na ule mlango jinsi ulivyo ukiwa nje lazima uufungue kwa funguo pindi ukijifunga
 
najarbu kuchora picha ya kilichofatia naikosa watu8
 
yaan kuna bibi mlango jirani ndiye aliyenisitiri mkuu hadi mchakato wa kuufungua mlango ulipofanyika...niliaibikaje!
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa nimevaa suti nawahi mahali,si nikateleza na kijipigiza chini kwenye matope mbele za watu,ilikuwa soo aikuambie mtu
 
Naishi kwenye apartment na kuna siku nikiwa bafuni naoga, nikasikia mlango ukigongwa...
Baada ya muda ukapita ukimya,mgongaji alikuwa ni deliverer wa DHL kaleta mzigo wangu uliotumwa kutoka China naye alikua kautua huo mzigo mlangoni na tayari kasepa...
Basi kwa shauku nikaenda mlangoni nikiwa hata sijajifunga taulo wala kuvaa bukta(nilikua mtupu)...
Nikafungua kidogo mlango, nikacheck upande wa kushoto na kulia hakukua na mtu, mmmh nikatoka nje vile vile nikiwa mtupu ili nilibebe lile box faster faster kabla ya mtu yoyote kutokea...
Astaghafilulah!...jamani mlango si ukajifunga na ule mlango jinsi ulivyo ukiwa nje lazima uufungue kwa funguo pindi ukijifunga

yarabi toba.....
 
ulshapata stor yake yoyote akiwa amefumaniwa CUTE tupia hapa tumtambue
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom