kisa cha tembo na ndege

manumbu1

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
713
400
tembo alikuwa akisumbuliwa sana na kupe sehemu za siri kwa muda mrefu sana ,akaja ndege mwenye njaa akawala wale kupe wote na mfalme Tembo akafurahi sana sana akamwita ndege akamwambia unataka nini ktk ufalme wangu sema chochote utakacho nitakupa sasa hivi ndege akamwambia unasema kweli mfalme wangu? Tembo akasema sema unataka nini nikupe ,ndege akasema mwezio maisha yangu yote sijawhi kutembea na Tembo, mfalme akamjibibu haya njoo leo ufaidi,na kweli ndege akaenda kwa nyuma akawa anakula vitu,kwa bahati mbaya Tembo akakohoa ndege akashtuka akaruka mpaka maskioni kwa Tembo akamuliza vipi mpenzi nimeku umiza?
 
hahahahahahahaahah
hahahahahahahahahahahahaha..........
 
Back
Top Bottom