Duh Mtambuzi,"liwelelo" Wanyamwezi wanasema.Thanks again
Na mimi nasema hivi "Haika sana meeku"
Habari ndeeefu, afu mbona sioni uhusiano wake na jukwaa hili,au kuua mtu,kushtakiwa,kuliwa na simba n.k ni Mahusiano na mapenzi? Kizunguzungu ati!
mbalu (mwangaluka)Hawa vimburu wana roho mbaya kama sura zao, ikiwa mfanyakazi aliyekuwa akipokea amri alihukumiwa miaka 15 iweje muuaji mkuu ahukumiwe miaka 5 na msamaha juu? sisi waafrika akili zetu fupi ka nywele zetu. Mtambuzi mjukuu wako TaiJike anakupa hi leo amekabwa mpaka penati maana yuko busy kuliko ulimi wa nyoka.
na mimi nasema "uchengwile kanopi ndongo".
mbalu (mwangaluka)
Msalimie sana mwambie na mimi nimeshikwa na majukumu ya ulezi hapa nyumbani, mpaka likizo yangu iishe nitakuwa nimeshika adabu.......mama Ngina kajipumzikia zake........................LOL