Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kisa cha Bin Zubery kuichukia Simba ni kugombea mwanamke na nyota Simba!

Discussion in 'Sports' started by Mdakuzi, Aug 12, 2012.

 1. Mdakuzi

  Mdakuzi JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,764
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 83
  Kwa bahati njema nafahamiana vizuri sana na huyu mtu anayejiita Bin Zubery, lakini jina lake halisi ni Mahmoud Zubery aliyekuwa kujihusisha na mchezo wa ndondi siku za nyuma lakini hakuweza kufika mbali kutokana na uwezo mdogo.

  Huyu jamaa ameshafanya kazi kwenye magazeti ya Tanzania Daima, Sayari, Bingwa na Dimba kwa sasa anaandika habari za soka zaidi, na kwenye miaka ya 2005 hivi alikuwa akiandika zaidi habari za urembo na muziki, hasa Bongo Flava.

  Sababu kubwa ya huyu jamaa kuichukia sana klabu ya Simba kwa kiwango kikubwa namna hii kiasi cha kufanya magazeti anayofanyia kazi kuwa zaidi na habari za kuiponda Simba ni tukio la kugombea na mwanamke na aliyekuwa mchezaji wa Simba, Boniface Pawasa.

  Mvutano huu uliodumu kwa kipindi kirefu ulitokana na wawili hawa kumgombea mwandishi wa kike aliyekuwa akifanya kazi pamoja na Bin Zubery aitwaye Dina Ismail. Pawasa alifanikiwa kusafiri mara kadhaa na mwandishi huyo wakiwa na klabu ya Simba nje ya nchi, akiwa kama ripota.

  Jambo lililofanya Zubery kuanza kuishambulia klabu ya Simba hata kwa habari zisizo na ukweli wowote ilimradi kufurahisha nafsi yake, huku akiamini kwamba anamkomoa Pawasa na mara nyingi zaidi alikuwa kimuandika vibaya Pawasa.

  Mwisho wa siku Dina akafanikiwa kuzaa na Pawasa mtoto mmoja, jambo liliongeza vita kwa wawili hawa na baadaye Zubery akaamua kumuoa kabisa Dina kwa kuendeleza mapambano, na kufanya Dina aanze kutumia jina la Dina Zubery akiwa na gazeti la Tanzania Daima.

  Kwa wakati huu mara kadhaa Zubery akawa akipigana sana Pawasa, kila lipokwenda kukutana na Dina kwa ajili ya kutoa huduma za mtoto wake, na nakumbuka ugomvi wao mkubwa zaidi ulifanyika nje ya jengo la Bilicanas ambako ndiko iliko ofisi ya gazeti la Tanzania Daima.

  Lakini kwa kuwa ndoa yao haikuwa ya mapenzi na badala ikawa ya mashindano zaidi, haikudumu ikavunjika miaka michache tu baadaye.

  Hiyo ndio historia ya kweli ya Mahmoud Zubery kuichukua klabu ya Simba.
   
 2. Bwana Mapesa

  Bwana Mapesa JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 63
  KUMBE "NGOSWE" ha ha ha..yule jamaa boya sana achaneni na ka blog kake...
   
 3. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 7,391
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 63
  Hii Story ya Rage aliyoiandika na ridhiwani ni ya kweli au tumchukie tu Zubery?
  Tutajitahidi lakini hatakosa wadaku maana hata Global ilianza hivihivi
   
 4. m

  matambo JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa boya sana halafu japokuwa hii stori siijui sana nachojua ni kwamba Dina Ismail ambaye ni ripota wa Tanzania Daima ni mwanamsimbazi mzuri sana, sasa sijui kama ilikuwa uandishi wake wa kingese ndio ulichangia kuachana kwao au jamaa shughuli haziwezi

  ila jamaa ni mzushi wa hali ya juu sana
   
 5. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 6,208
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 83
  Lakini bado ishu ipo pale pale huyo Rage kachemuka na Zuberi kaandika ukweli hayo mambo ya kuchukia Simba na mambo ya ndoa hapa si ishu ,ishu ni ukweli
   
 6. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 6,091
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 83
  Version two: kisa cha mdakuzi kumchukia zubery ni kugombania demu!
   
 7. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,415
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Hakuna kitu kama hicho,bin zubeiry aichukie simba kisa mwanamke?kwani simba ndo iliyomkuwadia pawasa kumpata huyo Dina?Haingii akilini kabisa coz hata huyo pawasa mwenyewe hayuko na simba kwa sasa,unataka kuniambia kwamba leo wayne bridge akiwa mwandishi wa habari ataiandika vibaya chelsea eti kisa bifu lake na J.terry,na mtasema mengi sana mwaka huu!
   
 8. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushuzi mtupu,yaani leo hii mtu wa Yanga anitwalie "Mtarajiwa" wangu ndo nitaichukia Yanga,nani kasema? Mimi ni Yanga jana leo na kesho,Yanga daima mbele nyuma mwiko.
  Tafuteni namna nyingine ya kumchafua.
   
 9. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 1,518
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 63
  ...Jamani, mi nilitegemea kuona hoja za kupinga kile Zebeiry alichosema, kumbe mwenzetu unakuja na hoja za nyumbani!? Chambua hoja zake moja badala ya nyingine maana kama ni kukosana na Pawasa, naamini kuna mashabiki wengi tu wa simba waliokosana na wachezaji lakini hawakuacha kuishabikia timu.
   
 10. B

  Baba Kiki JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 900
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 43
  Pamoja na kwamba Bin Zubeiry anaoonekana kutoipenda Simba, na hata kama alishakwaruzana na mdau wa Simba kutokana na wivu wa kimapenzi bado bin zubeiry kwa nature ya kazi yake anapaswa kuitendea haki taaluma yake.

  - Lazima ajifunze kutengeneza argument, facts aziache kama facts na mtazamo wake kama mtazame wake
  - Aondoe personal attacks
  - Ajifunze lugha na kuitumia kwa ufasaha
  - Ajiepushe kubebwa na wimbi la wehu wa kishabiki - maana yeye ni zaidi ya shabiki.

  Hii itamsaidia sana kukua ktk fani na kuwapa mashabiki kile wanachostahili. Akishindwa haya, basi aache uchambuzi awe anaripoti na kupiga picha. Ni ushauri tena kwa nia njema.
   
 11. afrique

  afrique JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  umeona e!mfamaji haachi ku....;)
   
 12. afrique

  afrique JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Dakika 90 zikiwashinda mnahamia kwenye blog za watu?
   
 13. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,447
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Am out of line, i never heard of this guy! Who is this by the way? mbona anapaishwa sana Nadhani mnampaisha tu huyo mtu wenu!!!!!
   
 14. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,039
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 38
  ushauri mzuri sana huu... kama ana akili atautekeleza na kuboresha kazi zake
   
 15. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 951
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Kwa hiyo huyo Pawasa akichezea Yanga kesho, ataanza kuiandika vibaya???
  Nonsense.
   
 16. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Asanteee!
   
 17. m

  makumvi Senior Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  Mtoa mada tunashukuru kwa taarifa hii, sasa nimejua ni kwanini jamaa anaichukia simba kiasi kile, amekuwa mwepesi sana kuanzika mambo yanayohusu simba.
   
 18. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa ku'base kwenye hoja ya Mleta uzi,inaonekana leo Bin Zubeiry amerudishiwa ile kitu yake iliyo'reportiwa kuchukuliwa na Pawasa,ksbb leo naona post za kuisifia Simba tupu,Okuffor anaweza akapiga chenga kuanzia goli hadi goli,huyu Okuffor ni hatari sana hakuna wa kumfananisha naye.
  .................
  Leo Mashabiki wa Simba roho kwatu/nyeupeee.
   
 19. 'TF'

  'TF' JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 935
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bin zuberi ni nani
   
 20. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,878
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mnampaisha Bin Zubery hapo na blog yake
   

Share This Page