Kipondo havi kwa shemeji....

alisharipoti hadi polisi bt jamaa anajulikana kwa ukorofi wake eti hadi polisi wanamgwaya ukimshtaki hachukui hata dakika kumi ndani naskia watu wanamwogopa sana eti kisa alishauaga mtu kipindi cha nyuma....dada alikua hata akitoroka kurudi hom anafatwa hata usiku wa manane na ole wake atakaemzuia...
We pia ulikuwa humzuii??!!!!!!!!!!!!
 
huyo ndugu yako,akiendelea kukaa nae anaweza akauliwa na huyo bwana.ndoa za kupigwa ni mbaya sana.unachokifanya kwako,kwake ni kibaya
 
mfumo dume kuna watu wanauchukulia for granted hv ukimvunja mkeo ala nanihii mnafanyeje? Hyo ndo mijamaa inayowalazmisha wake zao kupita uhani maana halina huruma ati..hv ukimchoka si wamuacha?

bora huyo mimi kangekua kashengo kwelikweli au lushengo jumla...
 
Mwambie huyo jamaa akileta mchezo utamvunja mguu na mkono uliobaki, hao ndugu zake/zako wanaoleta kiherehere wape onyo kuwa utawavunja mbavu au kuwatengua nyonga kabisa.
Dada yako ni ndugu yako, flesh and blood; huyo jamaa anapaswa kujua haujambinafsishia dada yako. Usipomlinda dada yako siku moja mtaletewa msiba unaotokana na kipigo.
 
husninyo hata huyo wife dadaake na mkaka hapa naona ana mawazo kama yako...na ndo maana kavumilia mateso kwa muda wote huo...

Cha kufanya wewe mtu akikuharibia either payback or stay away coz ni wachache sana waweza jutia makosa waliyotenda na kutorudia tena...kumfuga kwa kusema ubaya haulipwi kwa ubaya utaokotwa uvunguni ushaanza kunuka
 
Duh pole yake huyo dada. Kama ndugu walikuwa wanamruhusu afatwe hata usiku wa manane basi walishamtoa kafara kwa huyo bwana! Yaan mtu alishaua halafu mnamwachia ndugu yenu!!!!!!!!!! Je dada ameshatembelea vituo vya msaada wa kisheria kwa wanandoa wanaoexperience domestic violence? Msipofanya hima mtampoteza dada yenu!!! Chukueni hatua.

alisharipoti hadi polisi bt jamaa anajulikana kwa ukorofi wake eti hadi polisi wanamgwaya ukimshtaki hachukui hata dakika kumi ndani naskia watu wanamwogopa sana eti kisa alishauaga mtu kipindi cha nyuma....dada alikua hata akitoroka kurudi hom anafatwa hata usiku wa manane na ole wake atakaemzuia...
 
Sometimes it is wrong NOT to react. Ulivyomtendea ndivyo hasa alipaswa kutendewa. Ushauri wangu usikubali kabisa kuomba radhi na wala usijutie kitendo hicho ulichomfanyia. Next time akileta za kuleta mtie kilema cha ukweli.
 
Hiyo kesi wala isikutishe kabisa yaani inapangulika vizuri mno cha muhimu ni kujipanga tu! Hiyo ni self defence, tena umeact under a reasonable force na sio excessive force! Issue ya pili baba ni provocation ambayo ina afford a defence provided imeoccur under the heat of passion(hiyo attitude ya hasira alokusababishia huyo muhusika) even the penal code says it all! We jipange tu na akikudis tena we muongeze, ila vilevile mnaweza kuelewana mkawithdraw hiyo kesi then mkayasettle tu kinyumbani!
 
husninyo hata huyo wife dadaake na mkaka hapa naona ana mawazo kama yako...na ndo maana kavumilia mateso kwa muda wote huo...

Cha kufanya wewe mtu akikuharibia either payback or stay away coz ni wachache sana waweza jutia makosa waliyotenda na kutorudia tena...kumfuga kwa kusema ubaya haulipwi kwa ubaya utaokotwa uvunguni ushaanza kunuka

nilivyosema ubaya usilipizwe kwa ubaya sikumaanisha mtu avumilie mateso na manyanyaso.
 
hakuna mwenye haki ya kupigwa. Kama jamaa anaendelea na kichapo kwanini uendelee kung'ang'ania? Ina maana hata ndugu walishindwa kumsaidia kabla mambo hayajaribika?

Kama ulivosema hakuna mwenye haki ya kupigwa na huyo dada hakupaswa kuendelea kung'ang'ania hapo. Lakini kulikuwa na ulazima gani wa huyo jamaa kumtusi kaka mtu na hadi kummwagia chai? Huyo jamaa amepata kiburi kuona mkewe bado yupo nae basi ndo anataka kuexercise hiyo dharau hata kwa ndugu wengine! There4 hicho alichokifanya kaka mtu, ndo mwanzo wa msaada wenyewe kwa ndugu yao!
 
Wewe na huyo shemeji yako mna akili sawa za kipuuzi,shemeji yako kaona dili saana kumpiga mkewe,ama kweli huyo shemejiyo ni mpuuzi na mjinga. Na wewe dada yako kesha yaona maisha ya kupigwa na mumewe ni namna yake ndo maana kavumilia,wewe kilichokufanya uingilie ni nini mpuuzi wewe baadala ya kuamua ugomvi! Nyie wote watatu hamnazo,dada yako anayepigwa daily na bado yupo,mumewe anayempiga mkewe na wewe uliyeingilia hiyo ndoa ya mabondia.ngrrrr!!!
 
akitoka hospitali lazima aje amtwange tena dada yako kwa hasira..

dawa ni kumpa kichapo kingine ikiwezekana umfuate huko huko moi
umuongeze ili akae mda mrefu huko moi....
 
Wewe na huyo shemeji yako mna akili sawa za kipuuzi,shemeji yako kaona dili saana kumpiga mkewe,ama kweli huyo shemejiyo ni mpuuzi na mjinga. Na wewe dada yako kesha yaona maisha ya kupigwa na mumewe ni namna yake ndo maana kavumilia,wewe kilichokufanya uingilie ni nini mpuuzi wewe baadala ya kuamua ugomvi! Nyie wote watatu hamnazo,dada yako anayepigwa daily na bado yupo,mumewe anayempiga mkewe na wewe uliyeingilia hiyo ndoa ya mabondia.ngrrrr!!!

kaka umeongea kwa hasira ila umeongea point kabisa.
KIPIPI soma hapo.
 
Back
Top Bottom