Kipondo havi kwa shemeji....

Kaka Nakupa big up sana.
Akileta Ujinga mchape tena ile awaheshimu.
Hilo neno tu 'NTAOA UKOO MZIMA' linatia kichefchefu.
Umechukua hatua stahiki kama kaka mtu.
NOTE: Angalie atakapo pona asije akampiga tena dada kama njia ya kulipa kisasi.
 
kama ni mimi kwa miaka yote mitatu hiyo ningekuwa nishamchukua sist na kumtafutia cha kufanya. Nakubaliana na mzee wa rula aliyesema inawezekana huyo dada ni mama wa nyumbani na ndio maana amekuwa mzito kufanya maamuzi ya kusepa.

kwa hiyo kama hana kazi basi ni haki yake kupigwa na kuvunjwa..wewe ni me/ke? kama ni ke umeolewa, je wewe dini gani?
 
ubabe ni wakwake na hao ma******* wanaomuogopa asilete ubabe wake kwa dadangu bana pia ni kweli dada ni mama wa nyumbani tu kwa sasa ndo mana hata biashara jamaa hataki afanye
Pole nihisi hivyo lakini kuwa makini na huyo shemeji yako anaweza kufanya kila awezalo ili akufunge anza kujipanga kisheria kwa kuonana na watu wenye taalum kama hiyo uone jinsi ya kupangua kesi hiyo, hilo la kumvunja mguu limepita lililopo mbele ni kesi na kikao cha kifamilia. Katika kikao cha kifamilia umnyooshee huyo jamaa juu ya tabia yake yake hiyo mbaya na hivyo jambo hilo limetokea kwa bahati mbaya kama yeye alivyokuwa anamvunja mikono dada yako na hivyo mka with draw hiyo kesi polisi ili mje myamalize home. Hiyo kama ukiwin itakusaidia kidogo. Ukimaliza mshauri dada yako afanye ka shughuli kokote ambako katampa kipato na kumuweka huru zaidi.
 
Kaka Nakupa big up sana.
Akileta Ujinga mchape tena ile awaheshimu.
Hilo neno tu 'NTAOA UKOO MZIMA' linatia kichefchefu.
Umechukua hatua stahiki kama kaka mtu.
NOTE: Angalie atakapo pona asije akampiga tena dada kama njia ya kulipa kisasi.

kama kipondo alichokipata ni cha ukweli si dhani kama atathubutu kumpiga sana sana atamwanga..
 
nimependa ulivyo mbonyeza! Watu wa aina hii wanasababisha watu wapate mada kesi bila kukusudia,tena kesho kwenye kikao akileta tena ngebe zake m bonyeze tena,mara hii ziwe za usoni.mjing.a sana huyo jamaa!!
 
Lakini mi nakuunga ulivyompiga na kuvunja mkono wake bt cku nyingine usiingilie malove affairs yao na hasa kuyazungumzia kwao si ktk mila zetu bro..na kutokuwa na kazi hakuhalalishi kumpiga kwani mama zetu mbona hawana kazi na hatuoni Fracas kama hzo? Jamaa huyo ni MONSTER in marriage..
 
kwa hiyo kama hana kazi basi ni haki yake kupigwa na kuvunjwa..wewe ni me/ke? kama ni ke umeolewa, je wewe dini gani?

hakuna mwenye haki ya kupigwa. Kama jamaa anaendelea na kichapo kwanini uendelee kung'ang'ania? Ina maana hata ndugu walishindwa kumsaidia kabla mambo hayajaribika?
 
mkuu unatetea domestic violence? yaani dada abondwe,avunjwe mkono,kaka mtu naye amwagiwe chai kisha mumwangalie tu? yeye ni nani duniani hii? Mkuu hii situation embu iangalie kwa umakini zaidi kisha ndo utoe hukumu tafazali.

thank you
 
nimependa ulivyo mbonyeza! Watu wa aina hii wanasababisha watu wapate mada kesi bila kukusudia,tena kesho kwenye kikao akileta tena ngebe zake m bonyeze tena,mara hii ziwe za usoni.mjing.a sana huyo jamaa!!

kwanza ktk kikao hatokuwepo bado amelazwa moi naskia mguu unagoma kuunga...bahati yake
 
Pole nihisi hivyo lakini kuwa makini na huyo shemeji yako anaweza kufanya kila awezalo ili akufunge anza kujipanga kisheria kwa kuonana na watu wenye taalum kama hiyo uone jinsi ya kupangua kesi hiyo, hilo la kumvunja mguu limepita lililopo mbele ni kesi na kikao cha kifamilia. Katika kikao cha kifamilia umnyooshee huyo jamaa juu ya tabia yake yake hiyo mbaya na hivyo jambo hilo limetokea kwa bahati mbaya kama yeye alivyokuwa anamvunja mikono dada yako na hivyo mka with draw hiyo kesi polisi ili mje myamalize home. Hiyo kama ukiwin itakusaidia kidogo. Ukimaliza mshauri dada yako afanye ka shughuli kokote ambako katampa kipato na kumuweka huru zaidi.

thank you ntakuwa makini mkuu
 
nimependa ulivyo mbonyeza! Watu wa aina hii wanasababisha watu wapate mada kesi bila kukusudia,tena kesho kwenye kikao akileta tena ngebe zake m bonyeze tena,mara hii ziwe za usoni.mjing.a sana huyo jamaa!!

mfumo dume kuna watu wanauchukulia for granted hv ukimvunja mkeo ala nanihii mnafanyeje? Hyo ndo mijamaa inayowalazmisha wake zao kupita uhani maana halina huruma ati..hv ukimchoka si wamuacha?
 
yani umefanya kitendo cha ukwee yani nakupa big up sana kwanza ulitakiwa umutoe jicho kabisa loh!
 
mkuu hata hivo ulikua una uvumilivu sana na maneno hayo mbona ningekua nshamtoa meno yote ya barazani
 
hakuna mwenye haki ya kupigwa. Kama jamaa anaendelea na kichapo kwanini uendelee kung'ang'ania? Ina maana hata ndugu walishindwa kumsaidia kabla mambo hayajaribika?

ndugu kuivunja ndoa mtihani kweli kweli....yan ni kinyume kabisaa na dini nyingi
 
Back
Top Bottom