Kipofu anapo mwongoza kipofu mwenzake njia!!!

hajalidhika na huduma toeni taarifa siyo majungu
Kuwapelekea malalamiko ni sawa na kujaribu kumpigia mbuzi gitaa.Hili gari halipo Singida au Tanga lipo Dar na lina zoa taka kwenye mitaa ya baadhi ya viongozi inawezekana na mgogoni linaingia na bado hakuna kilichofanyika,sasa kujaribu kufuata ujumbe uliopo kwenye stika yao ya mlangoni ni kupoteza muda.Vyombo nya habari ndio lunga wanayoelewa.
 
Gari lenyewe ni takataka....sehemu nyingine wangekuwa wamelizoa na hili gari...
 
IMG_3471.JPG


Hiyo stika mlangoni "kwa pamoja tutauboresha utumishi wa umma" is this supposed to be a joke? Hawaoni kwa kuruhusu hilo gari kuwa barabarani wanaatarisha maisha ya watumishi wao na umma kwa ujumla?

hii sio joke ni matusi wanayojitukana wenyewe..! kwani mama anapomuita mwanae mbwa si na yeye anajiita mbwa bila kujua coz binadamu hazai mbwa bali mbwa ndio anazaa mbwa..! so hapo wanajitukana wenyewe kua ni mafisadi hawawezi hata kutengeneza mazingira mazuri ya kazi wanayojisifia nayo..! huo ni ujinga tena mkubwa sana..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom