Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,700
Una nuksi kajitose baharini mara saba...Dah, mbona kwangu haifunguki, ngoja nitafute spana niifungue manywali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una nuksi kajitose baharini mara saba...Dah, mbona kwangu haifunguki, ngoja nitafute spana niifungue manywali.
huyu kipipi na mswalishaji viko sawasawa kabisa kuanzia muonekano hadi ufikiriaji...
hahahahahahaaa kipipi bwana jibu lako ni kweli kabisaaaa
Una nuksi kajitose baharini mara saba...
Ni yule yule........!
We kodoa tu jicho vizuri......lol!!!
Mhmmm!! Hapana, siamini. Lakini embu ngoja nikodoe macho vizuri inawezekana macho yangu yana matege.
hahahahaaaa..........ngoja mama mchungaji atakuwekea picha nyingine!!!
Pengine unaangalia kwa wasiwasi!
Embu mwambie aniwekee haraka maana ahapa nilipo kiroho kinanidunda. Mapigo ya moyo speed 1000 Mbps both download and upload.
Kwa nini????
Kunywa maji ya bomba kwanza utulie..........mama mchungaji bado yupo kwenye maombi eti!!
Maji ya bomba ya bomba hayanitoshi ngoja niite fire kabisa maana huu moto hauzimiki hata kwa mchanga.
Basi ngoja nije mi mwenyewe nikumwagie pipa zima kabisa..........!!