Kipipi.....

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,799
59,263
Kipipi.JPG
Huyo ndio Kipipi bana...a.k.a Kakondoo ka' mama mchungaji.:wink2:
 
Hahahahaaaa...........mama mchungaji weweeeee!!!!!
Ukiona hivyo ujue kakondoo hakanaga ushabiki! Hata angekuwa besti maridadi angejibu hivyohivyo............. lolest!!!!
 
Mwana kwetu,mboa hilo pozi la muulizaji halifanani na swali lol!
Au ndio alikua napima upepo kabla ya swali la pili hahahahah!
Mzima swaiba?
 
Lol.......labda alikuwa anaelekea kufanya jaribio la kutoa ofa ya pipi kiwandani!!! Btw, mie mzima kabisa swaiba inakuwaje wewe?
 
Back
Top Bottom