Kipindi Wakimataifa wakiendelea kulifedhehesha Taifa, Mnyama atakataka kisawasawa Morogoro

sembo

JF-Expert Member
May 25, 2011
4,350
3,451
Mnyama leo kawatandika virungu 6-0 timu ya Polisi Morogoro, inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza.. Na hii ni katika mechi yake ya kwanza ya kirafiki mkoani hapa Morogoro, kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

Wafungaji ni Ibrahim Ajib katupia goli 2 kambani, Abdi Banda 1, Mo Kijiko goli 1 na Frederic Blagnon katupia goli 2 kambani.

Ikumbukwe huyu, Blagnon ni mchezaji toka Ivory Cost.. ameletwa na Vincent Angban kwa ajili ya majaribio.. Ili kama akilishwawishi benchi la ufundi asajiliwe.

Kwa soka lililooneshwa leo na hawa vijana wa Joseph Omog..
NAWEKA AKIBA YA MANENO.
 
Safii, hiyo ndo Simba. Leo wakimataifa wamepigwa bao 3-1 na chipukizi wa Medeama ambao wapo nafasi za chini hadi aibu. Beki yake chekeche ile mbaya.
 
Yanga wala hamjalifedhehesha Taifa, kama hawa wa matopeni wanavyotaka kuaminisha watu. Mmevuka hatua nyingi kufikia hapo. Kutoka tu nje ya TZ tayari mmelitangaza Taifa, kwa namna moja ama nyingine.

Viva Yanga, tuko pamoja na nyie wachezaji. Mpira una matokeo 3. Kushinda, kushindwa na sare. Wao watabaki kuwaonea Ndanda na Polisi tu, kimataifa hamchezi ng'oo...

#teamyangaforever#
 
Mnyama leo kawatandika virungu 6-0 timu ya Polisi Morogoro, inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza.. Na hii ni katika mechi yake ya kwanza ya kirafiki mkoani hapa Morogoro, kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

Wafungaji ni Ibrahim Ajib katupia goli 2 kambani, Abdi Banda 1, Mo Kijiko goli 1 na Frederic Blagnon katupia goli 2 kambani.

Ikumbukwe huyu, Blagnon ni mchezaji toka Ivory Cost.. ameletwa na Vincent Angban kwa ajili ya majaribio.. Ili kama akilishwawishi benchi la ufundi asajiliwe.

Kwa soka lililooneshwa leo na hawa vijana wa Joseph Omog..
NAWEKA AKIBA YA MANENO.

dah....

aliyeshika mkia miss Tz na aliyeshika namba 1 miss kijiji, wapi na wapi?
 
Mkuu ukitoa gharama za kukaa uturuki kwa mda wa wiki 2 + zaidi ya milioni 150 kumnunua Chura.. kuna kitu kitabaki hapo?!
Poleni sana Mkuu.. na karibuni tena nyumbani.
Hajui kama wqtajikuta wanadaiwa...anaiona mil 330 ni nyingi anasahau kuna mechi mashabiki waliingua bure wakati gharama za kuandaa timu, gharama za mchezo ziko pale pale...
 
Yanga wala hamjalifedhehesha Taifa, kama hawa wa matopeni wanavyotaka kuaminisha watu. Mmevuka hatua nyingi kufikia hapo. Kutoka tu nje ya TZ tayari mmelitangaza Taifa, kwa namna moja ama nyingine.

Viva Yanga, tuko pamoja na nyie wachezaji. Mpira una matokeo 3. Kushinda, kushindwa na sare. Wao watabaki kuwaonea Ndanda na Polisi tu, kimataifa hamchezi ng'oo...

#teamyangaforever#
Mkuu Bantu lady kulifedhehesha Taifa kuna kuja hivi,

1. Ikumbukwe Yanga ni Bingwa wa ligi inayoaminika kuwa ni bora kabisa katika ukanda wa CECAFA... Leo hii timu inashika mkia.. Si fedheha hii?!
2. Katika mechi nne na mabingwa wenzake, kachezea vichapo vitatu.. Kafungwa goli 5 Kafunga goli 1.. Kaambulia pointi 1 tu katika mechi 4.. Na anashika mkia.
3. Pamoja na mbwembwe nzito za maandalizi... mapicha kibao mkipanda ndege kwenda uturuki kwa ajili ya maandalizi.. Kufanya usajili wa wachezaji "wakimataifa", ili awavushe kimaraifa I.e Chura.. ambae anaonekana lile rungu alilopigwa wajina wake na Basata, limemuathiri hata yeye.. Leo mnashika mkia kweli?!

Mwisho:
Kwajinsi mlivyoliaribisha taifa.. Sidhani kama mawakala wa timu bora kabisa kama SonderjskE na KRC Genk watathubutu tena kujitwalia kina Ajib, Abdi Banda na Mkude kwa ada ya zaidi ya mil. 330 kwa kila mmoja.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
dah....

aliyeshika mkia miss Tz na aliyeshika namba 1 miss kijiji, wapi na wapi?
Mkuu kama Miss Tanzania, matokeo yake alipokutana na mamiss wenzake, kashika mkia kwa kuachwa ponti nyingi saaana.. Lakujifunza hapa.

1. Kamati ya "Miss Tanzania" nayo ni JIPU lazima litumbuliwe pia.
2. Huyo "Miss Tanzania" nae ni JIPU lazma atumbuliwe.. maana haiwezekani utumie zaidi ya milioni 600.. alafu katika kila "round" unageuzwa punching bag.
 
Yanga yaendelea kufungwa ghana simba yatembeza dozi morogoro i repet yanga yaendelea kufungwa ghana simba yatembeza dozi morogoro...eti mshabiki wa simba anatoka anaongea ujinga huu.moro kwenye kombe gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom