Elections 2010 Kipindi maalumu kwenye ITV na Dk Slaa (Saa 9.30 hadi Saa 10.30)

Jamani mnaona mambo huko itv jamani mie nakaribia kulia kwa raha! The new hope is here

Unafurahia kwamba wakuu wa wilaya hawana kazi au? Wateule wote wa CCM hawana kazi?. Hii ni vita, maana waathirika wa mageuzi ni wengi mno kiasi kwamba hawawezi kuvumilia kuona hili linatokea. Sifungamani na upande wowote lakini huo ndio ukweli, hata wakuu wa idara za serikali wanafahamu ufalme wao uko hatarini endapo patatokea mabadiliko ya chama tawala, inahitaji moyo kuyapokea haya bila kujitetea kwa njia yeyote inayowezekana. Hivi unafikiri waajiriwa wa CCM nchi nzima ni wangapi? na wote hawa wanategemea ushindi wa kura za raisi na ubunge ili CCM ipate ruzuku ya kutosha kuwalipa waajiriwa wake mishahara. Ni mpambano, siyo lelemama mtu atakubali kushindwa akiwa hana uhai tena
 
Pas, tupo pamoja, nyomi kibao, haifai. Natamani wangeanza hi documentary toka wk moja iliyopita, ingeua! Hata Ccm wasingeenda jangwani leo.
 
Ndugu zangu Watanzania, naomba niwaambia nimekaa namsikiliza Dr. Slaa. Jamani machozi yananibubujika ninapomsikiliza Dr. Slaa maana mambo anayoongea ni ukombozi wa nchi yetu kabisa. Anaongea mambo ya msingi ambayo yanamgusa mwananchi moja kwa moja.
Ndugu zanguni nawaombeni kwa mikono miwili tumchague Dr. Slaa.
Tuache ushabiki wa kishamba jamani, Dr. anaongea mambo ya msingi kwa mstakabali wa taifa letu.
MIMI, MAMA YANGU, MKE WANGU, RAFIKI ZANGU, TWENDE KUPIGA KURA TUMCHAGUE MKOMBOZI WA NCHI HII.
HEBU FIKIRIA, NCHI YETU IMEKUWA SHAMBA LA BIBI
 
UCHAGUZI NI LEO USIKU, Kesho ni kuthibitisha tu! Kama ni USHINDI usilale leo na kesho!
Mwambie mdogo wako vijijini pia.
 
tumechoka kuangalia protocol za ccm. hakuna jipya. ni sawa na wauza sura kina kanumba.:peep:
 
Back
Top Bottom