Kipindi hewani. . search line

Namtafuta rafiki yangu mathematics

ujumbe sisi sote ni ndugu!
 
Nawatafuta wale waalimu wenzangu wote tuliopo humu jukwaani.

Ujumbe: Tukutane pale lidas leo saa tano usiku kuna mambo nyeti ya kujadili.
huu ujumbe mpe na mwenzio.
 
Natuma salamu zangu kwa mwanangu Mtambuzi popote alipo.

Ujumbe: Usimalize ile hela ya mahari ya dada yako peke yako,
mimi mama nasubiri fungu langu nikanunue blanketi.
 
charminglady naja kumtafuta mwenzangu ruttashobolwa pamoja na hasimu wake mathematics sijui wako hai au ndo ile gari kule kwenye Pantoni ishawazamisha.
Kama wananisikia napenda kuwaambia kuwa mimi nipo na nitaendelea kuwepo Miaka Mia Nane.

Ujumbe:
Wagombanao ndio wapatanao

Wimbo:
Chozi la Yatima-Jose Mara
 
Last edited by a moderator:
charminglady naja kumtafuta mwenzangu ruttashobolwa pamoja na hasimu wake mathematics sijui wako hai au ndo ile gari kule kwenye Pantoni ishawazamisha.
Kama wananisikia napenda kuwaambia kuwa mimi nipo na nitaendelea kuwepo Miaka Mia Nane.

Ujumbe:
Wagombanao ndio wapatanao

Wimbo:
Chozi la Yatima-Jose Mara

nipo hapa bab tena mzima wa afya, me mwenyewe nilikuwa namtauta mathematics tuyamalize
 
Last edited by a moderator:
Halafu Muwe mnaongeza sauti wakati wa kipindi ili tusikie tunaotafutwa eeeh.......
 
habari zenu binafsi! karibuni katika kipindi cha search line. kipindi hiki ni maalumu kwa wale waliopotezana na ndugu /jamaa na marafiki. unachotakiwa kufanya ni kumtaja ndugu/jamaa/rafiki ulîyepotezana naye. na kuacha njia ya mawasiliano atakayokupata. tunawaomba wadhamini wa kipindi (@Roullete, Paw na Invisible) watufikishie mawasiliano haya kwa ndugu waliopotea. kwa kuanza namtafta ndugu The Finest naomba mara apatapo ujumbe tuwasiliane kwa na. zile zile nilizokuwa natumia awali. karibun
Naitwa khamis namtafuta
Anamary alikuwa akipenda kujiita Intisary
Alikuwa akiishi kamachumu akahamia Dar
My no 0685261957
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom