Kipindi hewani. . search line

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,864
Habari zenu binafsi!

karibuni katika kipindi cha search line. Kipindi hiki ni maalumu kwa wale waliopotezana na ndugu /jamaa na marafiki. unachotakiwa kufanya ni kumtaja ndugu/jamaa/rafiki ulîyepotezana naye. na kuacha njia ya mawasiliano atakayokupata.

tunawaomba wadhamini wa kipindi (@Roullete, Paw na Invisible) watufikishie mawasiliano haya kwa ndugu waliopotea. kwa kuanza namtafta ndugu The Finest naomba mara apatapo ujumbe tuwasiliane kwa na. zile zile nilizokuwa natumia awali. karibun
 
Last edited by a moderator:
Namtafuta your ex, chacha, Amani, Nyamanda, Charles, Jose na wengineo!!!!!!!!!!!!
 
namtafuta Bishanga tumepoteza nae siku 3 zilizopita na aliondoka na deni la mmwng mtarajiwa

ujumbe:milima haikutani binadamu hukutana
wimbo:nilipe nisepe
 
Last edited by a moderator:
karibu sana,pia unaweza kuendelea kuwatafuta ndugu wengine!

Mwingine ninayemtafuta ni Erickb52 na Young_Master,
walitumwa na Babu Asprin waje kunikagua badala yake,kama wananisikia
nawaambia hv,njooni tu mnikague msiniogope me binadamu mwenzenu na nimeshabook Hotel tayari kwa Ukaguzi.

Ujumbe:
Ukitaka kula sharti nawe uliwe

Wimbo:
Kwetu Pazuri-Ambsdr Grp
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom