Kipindi hewan....Jf Salamu za Jumapili kwa Uwapendao...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Tuma salamu kwa uwapendao ila wawe wa jinsia.Usichanganye jinsia...
Mfano..Natuma salamu zangu Kwa MadameX,
Charmiglad
Mymy..,
 
zimefika nami nazirudisha kwako mtangazaji! ujumbe ntakutumia hata kesho co lazma leo
 
Ziwafikie wana Yanga popote walipo, ndugu mtangazaji naomba salamu zangu zisindikizwe kibao matata cha hayati Kabasele Ya Mpanya a.k.a Pepe Kalle Yanga Afrika.
 
Natuma salamu kwa le mutuz@baharia biiig show @ kata kivukoni dsm city
Ujumbe: RIP
 
natuma salamu kwa wapenda fitna na majungu wote wakiwa pale kijiweni wimbo langu jicho by jahazi m taarab
 
Natuma salamu zangu kwa Moderator popote pale alipo,
Robot na kundi lake,
Invisible na Paw.

Ujumbe:
Tupeni adhabu yoyote mbadala lakini si Ban,Ban inauma.
 
miye leo j3 asbh nikiwa kwenye mgomo natuma salam ka waalim wenzangu wote popote pale walipo.
pia natuma salam kwa wachezaja wote na wapenzi wa tmu ya yanga wakiongozwa na KIKUNGU
Napenda kutuma salam kwa wachezaj wote wa timu ya volleyball ya chicago wakiongozwa na mchezaj wao mahiri Asprin
napenda kuwatumia salam wadogo zangu wote Eiyer, platozoom. Mbimbinho, Excellent na Smile.
bila kusahau wale wote wanipendao hasa cacico, Kaunga, Erotica, na wengine wote.

jamani nisimalzie kadi kwa kuto mtumia salam mtaalam wangu wa mapish charminglady.

dedication: Msalaba mbele dunia nyuma.
 
Last edited by a moderator:

Sasa dada ukigoma mimi ile zawadi ya simu ya kuslaidi na suruali ya kauboi nitaipataje?
 
miye leo j3 asbh nikiwa kwenye mgomo natuma salam ka waalim wenzangu wote popote pale walipo.
pia natuma salam kwa wachezaja wote na wapenzi wa tmu ya yanga wakiongozwa na KIKUNGU
Napenda kutuma salam kwa wachezaj wote wa timu ya volleyball ya chicago wakiongozwa na mchezaj wao mahiri Asprin
napenda kuwatumia salam wadogo zangu wote Eiyer, platozoom. Mbimbinho, Excellent na Smile.
bila kusahau wale wote wanipendao hasa cacico, Kaunga, Erotica, na wengine wote.

jamani nisimalzie kadi kwa kuto mtumia salam mtaalam wangu wa mapish charminglady.

dedication: Msalaba mbele dunia nyuma.
MyGod! Yuko wapi Kaizer jamani aone hii post?
 
Last edited by a moderator:
Nimezipata msikilizaji,acha uchoyo ujumbe wa nyumba kumi kumi

ndugu mtangazaji km nlivoahidi jana kwamba ujumbe wangu ntauleta leo haya ndo huu hapa.
ndugu mtangazaji naomba upunguze sauti ya mic zako make me huku kile kitufe cha kupunguzia sauti kililiwa na tax bubu (panya)
 
Back
Top Bottom