Kipindi gani cha ujenzi nimtafute Interior decorator?

bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
7,355
6,792
Ndugu wanaforum naomba msaada wenu.

Kulikuwa na post moja ambayo ilikuwa na discussion juu ya ujenzi wa nyumba.

Sasa na mimi naomba kuuliza jee ni katika hatua gani ya ujenzi nahitaji kumwita interior decorator? Kabla ya kuanza kupaka rangi au rangi niamue mwenyewe halafu ndiyo nimwite yeye?

Nitashukuru kama wataalamu watanipa msaada wa elimu hii.
 
Back
Top Bottom