Wana JF nimekuwa nikifuatilia kipindi cha dk 45 ITV ambacho kimekuwa kikilenga mahusisi mahojiano na baadhi ya watendaji serikali espicially mawaziri na wastaafu wa serikali ya MAGAMBA,binafsi natatizwa na hiki kipindi kimelenga nini hasa,je ni product ya dhati ITV au nimpango wa serikali ya magamba mana kipindi cha uchaguzi walikimbia kwa kuona ni anguko kuhojiwa nini kipo nyuma ya kipindi hiki,naomba ufahamu,pia wahusika nendeni yaidi ya hapo kipindi kiongezeke weledi!