Kipindi cha ujenzi EATV kimechakachuliwa.

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Jul 20, 2010
4,516
1,404
Mwanzo kipindi hiki kilipoanza nilikipenda sana maana kili-base kuonyesha utaalamu unaotumika katika kujenga vitu mbali mbali. Mtangazaji Aliwahoji mainjinia,mafundi na wataalamu mbalimbali wa fani ya ujenzi.

Bahati mbaya siku za karibuni mambo yamegeuka. Amekuwa akifanya interview katika site za ujenzi na wamiliki wa nyumba au kinachojengwa ambao wengi wao hawana ujuzi wa masuala ya ujenzi zaidi ya kuelezea experience waliyoipata kipindi wanajenga.
Kwa mfano. Leo alikuwa anamuhoji jamaa mmoja..jamaa alikuwa anatoa gharama ambazo si halisi kabisa.
Wajameni tujenge tabia ya kuthamini wataalamu wetu.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kosa ni la mwandaaji.....wanakosa elimu ya kutosha na upeo wa kutafakari na UBUNIFU...Hakina mvuto tena bora kuangalia futuhi....
 
Angalia TBC utakiona

aangalie c2c atakiona. sasa hivi hakina mvuto. yule dada anakuwa ka anauza sura tu. kama prof. J atakueleza nini kuhusu uinjinia wa nyumba na majengo makubwa? namshauri yule dada arudi alipotoka. Mia
 
aangalie c2c atakiona. sasa hivi hakina mvuto. yule dada anakuwa ka anauza sura tu. kama prof. J atakueleza nini kuhusu uinjinia wa nyumba na majengo makubwa? namshauri yule dada arudi alipotoka. Mia
Yah halafu vitu vingine vinafanyika utadhani hakuna wahariri aisee...
 
Sipendi sauti ya yule dada wa hicho kipindi ndo sababu iliyonifanya nisikipende na kipindi chenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom