Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,933
- 1,294
Habar wakuu!
Hapa nasikiliza Radio Imaan, jamani inatia sana hasira hii Radio kwani
chuki inaporomoshwa dhidi ya Mwl.Jk na wakrsito nchini.
Wanasema TANU ilianzishwa na Waislamu na sio Nyerere, Mungu hakupanga
eti uhuru uwe wa wakristo pekee kwani Uislamu ndio chanzo cha Uhuru
wetu.
Nyerere baada ya uhuru aliwatenga waislamu, Pia wanasema Kiongozi yeyote
akizidisha namba ya MADC waislamu basi lazima afukuzwe kazi na
Nyerere.
Kwani uongo!?