Kipindi cha kumbukumbu ya Mwl Nyerere; mgeni Mohamed Said - Radio Imaan

Status
Not open for further replies.
hivi watu kama hawa kwanini hawaitwi kwenye vyombo vya habari vya kawaida kuelezea upuuzi bali wanaongelea kwenye radio yao? Natamani masako wa itv awaite halafu tuwahoji
 
Labda namwelewa vibaya anataka hiyo title ya ubaba wa taifa angepewa Abdulwahid Skyes...

Anasema uislamu umefanywa ni KITU NYETI

- anasema ajitokeze mkristo yeyote waweke mdahalo kujadili hali ya uislamu; ktk hili nmemshangaa mbna humu JF amekimbia hoja nzito namuona kwenye hoja sasa kahama sasa anaponda mfumo kristo
 
Habar wakuu!
Hapa nasikiliza Radio Imaan, jamani inatia sana hasira hii Radio kwani chuki inaporomoshwa dhidi ya Mwl.Jk na wakrsito nchini.
Wanasema TANU ilianzishwa na Waislamu na sio Nyerere, Mungu hakupanga eti uhuru uwe wa wakristo pekee kwani Uislamu ndio chanzo cha Uhuru wetu.
Nyerere baada ya uhuru aliwatenga waislamu, Pia wanasema Kiongozi yeyote akizidisha namba ya MADC waislamu basi lazima afukuzwe kazi na Nyerere.
 
hivi watu kama hawa kwanini hawaitwi kwenye vyombo vya habari vya kawaida kuelezea upuuzi bali wanaongelea kwenye radio yao? Natamani masako wa itv awaite halafu tuwahoji

hata hapo radio imaan kwenyewe , ukipiga simu wakikugundua unapiga simu naww sio wa mlengo wao wanakukatia simu
 
Pia wanasema shule za wakristo mfano Itaga seminary, Marian girls huwa zinapendelewa na NECTA.
Jamni ni chuki over chuki.

Serkali mko wapi kuwachia waganga njaa kama hawa.
 
Mwambie akimaliza huko aingie humu JF kuna maswali aliacha kuyajibu makusudi. Sijui kama Mzee Mohamed anaelewa "sumu" hii anayoimwaga kwa Waislaam ambao sote tunawafahamu walivyo anaelewa madhara yake.
Mkuu WildCard, huyu mzee ni muovu wakutupwa, anayoyasema anafahamu tosha madhara yake! lakini umri wake na akili yake ndio tatizo. Anajua fika watanzania watakapoanza kuchinjana yeye atakuwa Oman kwa mabwana zake akiangalia matukio kupitia Aljzaara.
 
Pia wanasema shule za wakristo mfano Itaga seminary, Marian girls huwa zinapendelewa na NECTA.
Jamni ni chuki over chuki.

Serkali mko wapi kuwachia waganga njaa kama hawa.

kuna jamaa anawatuma anataka abaki Jk mmoja katika Historia ya Tanzania
 
Let them speak brothers&sisters coz always kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala.
Thanx baba wa Taifa 4ur contribution.
 
achana na hzo mamo
no one is interested at all
usituharibie siku yetu hapa
unapumulizia upepo moto wa chuki au nia yako nin??
au hujapata kifungua kinywa asubuhi ya leo...
 
hata hapo radio imaan kwenyewe , ukipiga simu wakikugundua unapiga simu naww sio wa mlengo wao wanakukatia simu

Aisee hawa watu ni wadini sana mbona mijadala ya wapo radio karibu waislam wengi ndio wanapiga simu? Akamfufue mwalimu basi aanze kumlaumu yeye
 
Pia wanasema historia imepotoshwa kuhusu utawala wa waarabu na sultan hapa afrika mashariki.
Kuwa Sultan hakuwahi kuua mtu kwa risasi wala mwarabu hakuwahi kuwabagua watu weusi bali ni propaganda tu za watu ktk kueneza chuki dhidi ya waarabu na sultani.
 
Sipendi ushabiki wa dini wala kabila maana hauongezi maarifa yangu. sana sana unapunguza muda wangu wa kufikiria mambo ya msingi so I`m just passing
 
Unajua kitu kimoja cha ajabu ni hiki, ni kwanini wanazingatia vitu vidogo (kosa dogo) kama hili la mwalimu kutaka kuwaaminisha watanzania kuwa nyerere alikuwa na hila?? kwanini????? Mbona wasielezee mema yote aliyowafanyia?? Kwanini huyu mzee mohamed said ameshikilia kosa dogo la mwalimu kumuonyesha kama si lolote???


Tatizo lililopo ni wengi wenu kumuona Nyerere kama ni Mungu au Malaika kuwa yeye hakuweza kufanya makosa. Lakin katika moja ya hotba zake aliwahi kukiri hadharani kuwa katika uongozi wake aliweza kufanya makosa ya kibin'Adam na kuomba radhi kwayo.

Lazima mjua siku zote UKWELI unasimama hivyo ni vibaya kumsingizia mtu ima awe hai au maiti. LAKIN ni vizuri atajwe kwa swifa zake au matendo yake alofanya duniyani iwe mazuri au mabaya.

Sasa msichukia akitajwa kwa mabaya kwani ni funzo kwa wengine kujisahihisha kwayo. Kwani MS alichosema kipo katika kitabu chake (ameweka katika fasihi andishi) hivyo dahal na dahal watapita na kusoma na kugundua ukweli upo wapi.

Narudi pale pale kusema NYERERE SI MUNGU WALA MALAIKA
 
Mimi sijui kwa nini radio kama hii inayoeneza chuki inaachwa hivi hivi, serikali ya Kikwete italaumiwa kwa hili maana imelifumbia macho jambo hili halafu wanalalamika eti kuna udini chini.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom