Kipindi cha kumbukumbu ya Mwl Nyerere; mgeni Mohamed Said - Radio Imaan

Status
Not open for further replies.

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,033
23,873
Kama kichwa cha habari kina husika muda huu kipindi cha kidokezo radio imaana ndio kimeanza na mwana JF Mohamed Said ndio mgeni rasmi akichambua historia ya wagombea uhuru

Ameanza kuzungumzia wanaharakati wa kiislamu kina skyes na wenzake kutokuwepo kwenye historia ya wagombea uhuru na badala yake Nyerere amehodhi historia yote na kikubwa anachosema hawakuwekwa kwenye historia kwasababu wao ni waislamu na Nyerere ni mkatoliki
 
Last edited by a moderator:
Huyu mzee Mohamed Said anapenda udini sijawahi kuona yani anachofanya ni kumkashifu tu Mwl nakuuleza kuwa uhuru uligombaniwa na waislamu Nyerere alidandia mwishoni
 
Last edited by a moderator:
Kama kichwa cha habari kina husika muda huu kipindi cha kidokezo radio imaana ndio kimeanza na mwana JF Mohamed Said ndio mgeni rasmi akichambua historia ya wagombea uhuru

Ameanza kuzungumzia wanaharakati wa kiislamu kina skyes na wenzake kutokuwepo kwenye historia ya wagombea uhuru na badala yake Nyerere amehodhi historia yote na kikubwa anachosema hawakuwekwa kwenye historia kwasababu wao ni waislamu na Nyerere ni mkatoliki
kumbukumbu ya mwalimu wanaharakati wa kiislamu watatawala mazungumzo ya mdeen huyu......huyu mzee akili zake kaazima walahi tena.....
 
Huyu mzee Mohamed Said ni mdini sijawahi kuona yani anachofanya ni kumkashifu tu Mwl nakuuleza kuwa uhuru uligombaniwa na waislamu Nyerere alidandia mwishoni
i hate this mzee huyu sijui watoto wake wakoje?..arifu nipe frikwensi nisikilize...
 
  • Thanks
Reactions: awp
i hate this mzee huyu sijui watoto wake wakoje?..arifu nipe frikwensi nisikilize...

kwa hapa dsm frequency zao nahisi zina range kwenye 102.3 kama sijakosea bado anabwabwaja jaribu kumsikiliza..
 
Hapo ni udini kwa kwenda mbele hakuna jingine, uhuru wa kutuharibia taifa letu! Tukumbuke hata rwanda ilianza hivohivo, tutajuta huu ulevi wa dini!
 
Namskiliza hapa. Anasema Hamza Mwapachu ndie aliyetangulia kwenda kusoma Cardiff University kabla ya Nyerere na pia alichelewa kurudi. Huyu Hamza ndie aliyekuwa anamjua Nyerere vizuri kuliko mtu yeyote
 
Nyerere alipofika Dar, mtu wa kwanza kumfahamu alikuwa Joseph Kasela Bantu, ambaye alikuwa mwalimu mwenzake Pugu Secondary. Anasema Wakati Nyerere anaaga mwaka 1985 alisema kuwa Nyerere alikuwa hajui mzee Abdul Sykes alikuwa ana cheo gani TAA
 
Taabu hawapendi Challenge wanaitana wao wenye mawazo yale yale tuuuuuu!!!

Radio iiman inasikika Si tu Tanzania nzima bali pia DUNIYA nzima. hata mimi naipata hapa kupitia mtandao.

Hivyo kuzungumza hapo anasikika dunia nzima.Na wametoa nafasi kwa wenye nafasi kuchangia mada ima kwa kuuliza au hata kufafanua lolote kama litakuwa limeshaulika.

Hiyo ndo imaani redio. Ingekua ni ya kikristo ingeshafungwa mda mrefu. Serikari ya dhaifu ipo kimyaaaaaaaaaaa.
 
Nilifikiri ana jipya. Kama ni haya ameyaandika na kuyasema sana. Tabia moja nzuri ya HISTORIA huwa haiandikwi upya wala kurekebishwa.
 
Radio iiman inasikika Si tu Tanzania nzima bali pia DUNIYA nzima. hata mimi naipata hapa kupitia mtandao.

Hivyo kuzungumza hapo anasikika dunia nzima.Na wametoa nafasi kwa wenye nafasi kuchangia mada ima kwa kuuliza au hata kufafanua lolote kama litakuwa limeshaulika.

Unajua kitu kimoja cha ajabu ni hiki, ni kwanini wanazingatia vitu vidogo (kosa dogo) kama hili la mwalimu kutaka kuwaaminisha watanzania kuwa nyerere alikuwa na hila?? kwanini????? Mbona wasielezee mema yote aliyowafanyia?? Kwanini huyu mzee mohamed said ameshikilia kosa dogo la mwalimu kumuonyesha kama si lolote???
 
Radio iiman inasikika Si tu Tanzania nzima bali pia DUNIYA nzima. hata mimi naipata hapa kupitia mtandao.

Hivyo kuzungumza hapo anasikika dunia nzima.Na wametoa nafasi kwa wenye nafasi kuchangia mada ima kwa kuuliza au hata kufafanua lolote kama litakuwa limeshaulika.

Mwambie akimaliza huko aingie humu JF kuna maswali aliacha kuyajibu makusudi. Sijui kama Mzee Mohamed anaelewa "sumu" hii anayoimwaga kwa Waislaam ambao sote tunawafahamu walivyo anaelewa madhara yake.
 
Hamna haja ya kumsikiliza, atakuwa anaongea yaleyale tu. Hawa jamaa ni kama maroboti, wamekuwa programmed kusema mabaya ya Nyerere na mazuri ya waislamu. Wanachosha.
 
Hiyo ndo imaani redio. Ingekua ni ya kikristo ingeshafungwa mda mrefu. Serikari ya dhaifu ipo kimyaaaaaaaaaaa.

Sio tu kufungiwa tu ingekwisha chomwa MIOTO!

Remember INNOCENCE OF MUSLIMS and what happened world wide!
 
NIMAWAZO YAKE HUYO MWANAHAKATI LAKINI AKUMBUKE KUWA HATA LIBYA GADAFI NDIO YUPO KWENYE KUMBUKUMBU ZA MAPINDUZI ALIYOFANYA wengine hatuwajui atuambie napia atuambia alioshirikiana na kenyata ni akina nani? Na historia inawakumbuka?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom