Kipindi cha Guiness sports ITV

Parachichi

JF-Expert Member
Jul 22, 2008
510
102
Wakuu leo nimesikitika sana,kuna kipindi nimeangalia ITV cha guiness sport,kuna madogo sijui wametoka wap!maswali marahis wamechemsha,walikua wanashindana na wakenya na waganda!mtu hajui hata jkt ruvu inatokea mkoa gan!verry embarassing!nyie mnaoteuwa hawa vijana achen kuwapeleka ndugu zenu,chaguen wanaojua michezo!kha
 
Aisee! Sio pekeyako uliyesikitika! Tuko wengi ndugu yangu! Tatizo la wabongo wao ni kupeana vitu kwa kujuana na wala sio ujuzi na utaalam! Hii ndio kansa inayoitafuna Tz kwenye kila sekta.
 
yanh inashangaza!mimi nikajiuliza hawa madogo wametoka wapi?lugha ndio usiseme,hadi mtangazaj akaamua kuwauliza kiswahili!wakadunda!inasikitisha sana!tunajiabisha wenyewe yanh
 
Kuna siku waliulizwa timu ya daraja la kwanza ya Ruvu Shooting inatoka mkoa gani wakakurupuka eti Ruvuma...Bure kabisa!!
 
Jujuzi si wameshinda au?

Walishinda vizuri na kujipatia dola 11500 na kuna aliyekuwa anajibu vizuri maswali japo yule anayeshuti kwenye MONEY WALL kwa kiasi alikuwa anamwangusha BUT BIG UP
 
Aisee! Sio pekeyako uliyesikitika! Tuko wengi ndugu yangu! Tatizo la wabongo wao ni kupeana vitu kwa kujuana na wala sio ujuzi na utaalam! Hii ndio kansa inayoitafuna Tz kwenye kila sekta.

ingia hapa kwenye hii link ukiwa wa kwanza ndio unaenda huko check it http://m.guinnessvip.com
 
Mbaya zaidi tumependelewa kwa kuulizwa maswali kwa kutumia lugha ya kiswahili tofauti na washindanaji wengine amboa maswali ni ' in english please !'
 
Mbaya zaidi tumependelewa kwa kuulizwa maswali kwa kutumia lugha ya kiswahili tofauti na washindanaji wengine amboa maswali na majibu ni ' in english please !'
 
Back
Top Bottom