Kipindi cha dk 45 ITV kimeanza kupoteza mwelekeo

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
28,987
10,618
Wakati kipindi hiki kinaanza niliona kama kinalenga kusaidia jamii na watanzania kwa ujumla.Lakini kadri tunavyoenda naona kinapoteaza mwelekeo na mvuto maana kama ni cha kuwajenga baadhi ya wanasiasa.Mwenyeji (bila kujali lengo la kuanzishwa kwake na anaekifadhili) anakuwa haulizi maswali chokonozi badala yake anauliza majibu.
 
Mkuu inaonekana unapenda kuskia unachotaka/ kinachokufurahisha wewe tu.
 
Sijui maudhui ya hiki kipindi. Nafikiri ni kipindi cha serikali na CCM tu na nafikiri hii ni kweli kwani mmiliki wa hicho kituo ni mtu wa CCM ingawaje anaonekana kutoswa vile.
 
Hili nalo neno.
 
Ukweli utabaki hapo hiki kipindi kinaenda kikipoteza dira....

Kuna mmoja pale alikula airtime kuelezea afya yake na kujibu hoja personal

Mission na Vission ni nini??

Uwezo wa anayehoji pia ???????? Power relation ndo shida. Ana kipaji but techniques za kuhoji ndo inapwayaaaa
 
Well said.
 
Back
Top Bottom