Kipindi cha DK 45 cha ITV ni mdomo wa serikali?

ITV nayo imeanza kuwa kichaka cha CCM hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi jimboni Igunga

Kwa hiyo kutenda haki ni kuipendelea chadema. Hii ni private TV station ambayo ina uwezo wa kwenda kwenye mrengo wowote ule.
 
Kwa hiyo kutenda haki ni kuipendelea chadema. Hii ni private TV station ambayo ina uwezo wa kwenda kwenye mrengo wowote ule.

idiot,,, kwani yeye amesema ipendelee chadema??? Au ionyeshe habari bila kupendelea upande wowote, either ccm o chadema, maana kwa sasa inapendelea ccm,,,, mboni unakua mgumu kuelewa????
 
Back
Top Bottom