kipindi cha Bango na picha za waliokufa

Ki biblia ni dhambi kama zingine zote..tena inaleta laana! if we will start this topic ignorant people may come out ignorantly to defend..while they are christian

It is boring..ikifika muda huo ninabadili channel..

Waberoya, usiseme Unabadili channel, sema 'TUnabadili channel' maana watanzania wengi tunabadili channel.
Ila mbona kwenye mazishi huwa watu wanaweka picha yake mazishini?
 
Nawashauri wananchi waache kupoteza pesa zao bure. 15% ya watu ndio wanaotazama, tena wale ambao wanajua wamelipia wanasubiria walione tangazo lao, wengine wote tunakuwa tupo kwenye channel nyingine au tumezima tukaamua kusikiliza redio kuliko 'BANGO'
kuangalia bango ni sawa na KWENDA KWENYE UBAO WA MATANGAZO KUANGALIA JINA LAKO WAKATI MATOKEO HAYAKUHUSU.
 
Tunapoona picha za chereko tunaona matukio ya karibuni ya wahusika, bila shaka hii inajenga taswira ya tukio hususa.
Ninaona tatizo pale wale waliokufa picha zao zinazotumika ni zile zinazoonyesha mazingira ya kazi au elimu.
Ili kuweka uzito kwenye tukio la kifo, natamani picha zinazotumika zingekuwa ni zile zinazoonyesha matukio yaliyopelekea msiba, au picha zao za siku za mwisho.
Nasimama kukosolewa.

Aisee.... JF inaenda deep sana siku hizi:rant::rant::rant::rant::rant::rant::rant::rant:
 
Ila jamani sio siri, tule tu'mwimbo tu'wili twa wakati wa matangazo ya wafu mimi huwa tunanipa simanzi kubwa sana bila hata ya kujalisha ni nan kafariki au alikufaje,

nawasilisha.
 
Waberoya, usiseme Unabadili channel, sema 'TUnabadili channel' maana watanzania wengi tunabadili channel.
Ila mbona kwenye mazishi huwa watu wanaweka picha yake mazishini?

sure my dear
you are talkng an act that is being done while the deceased is still not buried. Soon after funeral ceremony, automatically the spirit of God embraces all people attended there.....you find relief and comfort "this happen soon after burial'. But showing photo after 4 years or nine years!!! I dont get it

I know many people do this, let them do...but it does not make sense at all
 
99.5% i agree with you.
 
Nawashauri wananchi waache kupoteza pesa zao bure. 15% ya watu ndio wanaotazama, tena wale ambao wanajua wamelipia wanasubiria walione tangazo lao, wengine wote tunakuwa tupo kwenye channel nyingine au tumezima tukaamua kusikiliza redio kuliko 'BANGO'
kuangalia bango ni sawa na KWENDA KWENYE UBAO WA MATANGAZO KUANGALIA JINA LAKO WAKATI MATOKEO HAYAKUHUSU.
Kwani una uhakika gani kwamba kati ya picha zitakazoonyeshwa siku hiyo hakuna ya unayemfahamu? Baadhi yetu tumegundua watu tuliokuwa tukiwafahamu vema na kupotezana nao muda mrefu walishafariki. Tumeona hilo kwenye Bango.
 
Ki biblia ni dhambi kama zingine zote..tena inaleta laana! if we will start this topic ignorant people may come out ignorantly to defend..while they are christian

It is boring..ikifika muda huo ninabadili channel..
Hakuna katika Biblia kifungu kinachokataza mtu kumkumbuka marehemu wake. Walikuwa miongoni mwetu, tuliwapenda na wanadumu katika kumbukumbu zetu kwani walikoenda nasi tutakwenda na tunaamini wako hai kiroho. Kama hupendi kuziona tashwira za waliotangulia badilisha channel na uwache wanaotazama kwa utashi wao wafanye hivyo. Ila hili la kuonyesha picha ya tukio la mwisho la marehemuhalina mantiki hata kidogo, labda aliyeanzisha alitokea usingizini!
 
Mkuu kitendo hicho kinaitwa Necromancy:

1. All forms of the occult – divination, necromancy, astrology, hypnotism,
fortune-telling, magic, etc. – are forbidden by God. Leviticus 19:26-28, 31; 20:6, 27
Deuteronomy 18:9-14
2 Kings 23:24
Jeremiah 10:2

2. There are at least 25 Bible texts that tell us that death is a sleep, and that when a person is dead, he remains in the grave and he has no thoughts. He is in a state of lack of consciousness. He knows NOTHING! He is not in heaven nor hell. He is in the grave and knows nothing.

When We Die

3. You are CHRISTIAN FOR GOD SAKE!!!! it is shame you dont know whats all about in christian

1. The dead ones are sleep, and we have hope they will resurrect
2. we have short time to live in this planet , Jesus is taking us to new place/paradise...
4. Death of our loved ones is an actually a triump or joy is not sad, because we are going to the place where there is no death, torture, pain , hungry etc....why are we not celebrating when aour loved ones has been taken there..we have hope Bible Study #7 - Hope for dead loved ones - thoughts.com conversation engine

Read...

Personally, I believe the Bible. Paul wrote, "We walk by faith, not by sight" (2 Corinthians 5:7). This means that no matter what our sight, senses, or feelings may tell us, we should trust God and His Word first and foremost. This is the true Christian position. So what about talking to the dead? Does the Bible say anything about it? Get ready for a shock: The Bible categorically forbids all communication with the spirits of dead people..... (read link below)

Get read for more shock : The Truth About Death - What Happens When We Die?

4.
[h=2]From beyond the grave[/h]
One can read in Mark 12:26-27
But concerning the dead, that they rise, have you not read in the book of Moses, in the burning book passage, how God spoke to him, saying, I am the God of Abraham, the God of Isaac, and the God of Jacob.?
27 " He is not the God of the dead, but the God of the living. You are therefore greatly mistaken."
One can read in Luke 16 verse 19-31

5. Mpendwa, inawezekana wewe ni mkristo ila ni wale wakristo jina na ambao wako partial

kumbuka bible is superior to your church teachings, rules, laws and dogma

kuwa watu wengi kufanya kitu hicho hakitoi ruhusa wa kufanya hicho kitu!!!! if it is abomination it is so no matter what!!

UKRISTO WETU NI WA KURITHI, KUIGA, kufuata mkumbo, kufuata wazazi...very few, I mean very few people have taken heed to know the truth about bible..they rely on what priest says!!! which is very wrong

Kusema kumkumbuka aliyekufa si tu kunakufanya uonekane mjinga, ila kuko contrary na imani yako, mtu akifa anakuwa kwenye more superior form (spiritual) kuliko mapicha yenu mnayoyaweka kwenye TV

Pia kunakufanya uonekane mjinga kwani kihalisia na kiimani kifo ni furaha (if you know christ)!!!!! we are all dying though our body may be weaker and lead us to cry at the very time we lose our loved one, our spirit rejoices......WHAT THE HELL MAKES PERSON REMEMBER SOMEONE WHO DIED TEN YEARS AGO!!! shame!

Hallow!!
 
Tunapoona picha za chereko tunaona matukio ya karibuni ya wahusika, bila shaka hii inajenga taswira ya tukio hususa.
Ninaona tatizo pale wale waliokufa picha zao zinazotumika ni zile zinazoonyesha mazingira ya kazi au elimu.
Ili kuweka uzito kwenye tukio la kifo, natamani picha zinazotumika zingekuwa ni zile zinazoonyesha matukio yaliyopelekea msiba, au picha zao za siku za mwisho.
Nasimama kukosolewa.

We marehemu mzee Makene alipofariki mlimpiga picha siku chache kabla hajafa? je ulitoa wazo kwa familia yenu,la kupeleka kwenye kipindi cha bango hiyo picha ya marehemu baba yako?

Kama huoni maana ya kipindi cha Bango,uliza uelezwe... Na kama hujui maumivu ya kumpoteza mpendwa katika familia,basi kuna haja ya kukutanishwa na Prof, Kilonzo pale Muhimbili...
 
Nawashauri wananchi waache kupoteza pesa zao bure. 15% ya watu ndio wanaotazama, tena wale ambao wanajua wamelipia wanasubiria walione tangazo lao, wengine wote tunakuwa tupo kwenye channel nyingine au tumezima tukaamua kusikiliza redio kuliko 'BANGO'
kuangalia bango ni sawa na KWENDA KWENYE UBAO WA MATANGAZO KUANGALIA JINA LAKO WAKATI MATOKEO HAYAKUHUSU.

Tena nikiskia ule mziki naona kama dunia yote inataka kupigwa bom. Nabadilisha chanel palepale. Tena ukiangalia usiku utapata mawengewenge ukilala.
 
mie napenda sana nyimbo zinazopigwa katika hiko kipindi cha bango tatizo sizijui majina yake. kwa anaejua plz naomba anijuze nikazidownload.
 
Likipindi la ovyo kabisa hilo lifutwe any way siangaliagi tbccm siku hizi ninamgogoro na tbcccm,
 
Mimi huwa napata taabu pale Watanzania kwa ujumla wetu nchi nzima tunapolazimishwa kuangalia sherehe za Arusi kwa takribani muda wa saa moja kipitia kipindi cha Chereko.Isinge nisumbua kama kipindi hiki kingerushwa na Television binafsi lakini kwa TBS ambayo ni chombo cha umma haiingii akilini.Yapo mambo mengi ambayo TBS kama chombo cha umma kinapaswa kuyatangaza lakini si hili la Arusi ambalo limekaa kibinafsi mno kuangaliwa na Taifa zima kwa muda wa saa takribani moja.
 
Waberoya, usiseme Unabadili channel, hsema 'TUnabadili channel' maana watanzania wengi tunabadili channel.
Ila mbona kwenye mazishi huwa watu wanaweka picha yake mazishini?

................na kumtolea heshima za mwisho, hali ni maiti ?
 
Tunapoona picha za chereko tunaona matukio ya karibuni ya wahusika, bila shaka hii inajenga taswira ya tukio hususa.
Ninaona tatizo pale wale waliokufa picha zao zinazotumika ni zile zinazoonyesha mazingira ya kazi au elimu.
Ili kuweka uzito kwenye tukio la kifo, natamani picha zinazotumika zingekuwa ni zile zinazoonyesha matukio yaliyopelekea msiba, au picha zao za siku za mwisho.
Nasimama kukosolewa.

Hueleweki kabisa, mbona kile kipindi kiko safi kabisa, waambie ndugu zako ukifa wakupige picha ukiwa ndani ya jeneza na waitumie katika tangazo la bango....
 
Ki biblia ni dhambi kama zingine zote..tena inaleta laana! if we will start this topic ignorant people may come out ignorantly to defend..while they are christian

It is boring..ikifika muda huo ninabadili channel..

............mbona majority ni hao hao, huwa hawafundishwi Sunday School !
 
Back
Top Bottom