Kipimo cha Uongozi ni Changamoto

Mo-TOWN

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,721
515
Inasemekana kuwa kipimo cha uongozi ni pale zinapojitokeza chamgamoto ...Viongozi wetu wa kisiasa wamefanikiwa vipi kiuongozi ktk kushughulikia changamoto zifuatazo

Umeme
Kupanda kwa gharama za maisha
Ufisadi
.........
.........

Tujadili
 
Back
Top Bottom