Kipimo cha mkojo kinaonyesha hivi:.numerous pus cells

... Sorry for later reply,nilikuwa nje ya mtandao.

>>> Naomba uamini majibu uliyopewa mkuu. Labda lugha niliotumia [neno "kwa mujibu"],limekutoa nje ya mstali... Let say nimelitumia kimakosa kwa bahati mbaya. Na nimefanya hivyo,kwa kuwa siyo mimi niliekupima !
Bahati mbaya zaidi TZ,watu wengi wanaopima,hasa HIV na Typhoid,wakipewa majibu ya negative huwa hawaamini,hadi wapime mara 2 au zaidi, sehemu tofauti...UWONGO ?!

mzee nimependa sana jinsi ulivyo fafanua. Natumai sio mimi tu nilie nufaika na mchango. Hata wale wa akina "napita tu" nao pia wamenufaika.pia naomba naomba unipe maana ya user name yako.
 
mzee nimependa sana jinsi ulivyo fafanua. Natumai sio mimi tu nilie nufaika na mchango. Hata wale wa akina "napita tu" nao pia wamenufaika.pia naomba naomba unipe maana ya user name yako.

... Daaaah Mr Slave! Ahsante kwa kukubaliana na nilichoandika,umenipa moyo...
kuhusu maana ya user name yangu daaaah!... Ok ! Ni hivi kuna dawa nyingi km zinazotibu malaria,Kuharisha and so and so... Na ipo dawa ya sikio,hata kama sikio lako halisikii litasikia tu likitibiwa... Kama mtu anajifanya hasikii atasikia... Na kifasihi kusikia sio kwa kutumia masikio pekee... Mtu unaambiwa tumia chandarua,chemsha maji ya kunywa+ mengineyo....unajifanya husikii wala huelewi... Ngoja siku utakayougua/patikana..utasikia tu...HAPO UTAKUWA TAYARI UMEPATA DAWA YA SIKIO!
[ Umenibana sehemu mbaya lakini nadhani nimejiumauma pa kutosha,au vipi Mkuu ?!].
 
ubarikiwe mkuu.pia kwa ufafanuzi wa jina unalotumia. Mean wewe kwa ujumla wako ni dawa tosha.dawa ya wale ambao wana masikio lakini hawasikii.kama ambavyo mimi nilivyo kuwa sisikii ktk thread hii. Ila ulipo ingia wewe tu.tayari nimekusikia. Mie nilidhan ni dawa ya ear drum, pus drops.hole in ear drum etc... Etc...
 
ubarikiwe mkuu.pia kwa ufafanuzi wa jina unalotumia. Mean wewe kwa ujumla wako ni dawa tosha.dawa ya wale ambao wana masikio lakini hawasikii.kama ambavyo mimi nilivyo kuwa sisikii ktk thread hii. Ila ulipo ingia wewe tu.tayari knimekusikia. Mie nilidhan ni dawa ya ear drum, pus drops.hole in ear drum etc... Etc...

.... Pamoja sana Mkuu Slave... Hata wewe unaweza kuwa na characters za dawa ya sikio!
...In additional: User name yako nayo ni kila kitu,iko so broad.
...Katika huu ulimwengu karibu kila mtu ni mtumwa wa aina / namna flani!
 
Back
Top Bottom