Kipimo cha mawaziri kiwe hivi!

Mbaliche

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
294
61
sijajua mwongozo wa bunge kuhusu maswali na majibu bungeni, ninge penda maswali ya papo yaulizwe kwa kila waziri, hapo ndo tungejua uwezo wa mawaziri na utendaji wao wakazi. Kwa mfumo huo tutapata viongozi wabunifu na wenye kujituma katika wizara zao.
 
Rwanda mawaziri wanapewa mkataba wa vitu vya kufanikisha kwa muda fulani. Kama kuna waziri hakamilishi hiyo list na hana sababu ya msingi anafukuzwa kazi na kupewa mwingine. Hii inasaidia kwani Waziri anakuwa anajali miradi badala ya siasa kama waziri wetu wa Nishati anatembelea magazeti na TV siku nzima wakati hatuna umeme. Hii siyo perfect system lakini siyo mbaya tukaanza na hili kwa Tanzania
 
Hata Tanganyika Mbona mnayo hiyo kitu

Wanaita OPRAS,utumishi ndio wanasiamamia na ktk kuimpliment hii kitu mamilioni yalitumika kuendesha semina kwa waajiriwa wote wa serekali. lakini cha kusikitisha ni Usanii mtupu, kunzia juu mpaka chini.

naamini sheria za nchi zingekuwa zinafuatwa bila kubagua lazima maendeleo yangeonekana
 
Back
Top Bottom