Kipimo cha mapenzi ni nini?

kwa wadada nafikiri ni pesa na kwa wakaka ni shep,...nikikosea msinipopoe na mawe ila mnisahihishe,...nachangia

haaah haah mkuu mbona muoga ww?kipimn ya mapenzi ni upendo, cjui kama nipo sahii?
 
haaah haah mkuu mbona muoga ww?kipimn ya mapenzi ni upendo, cjui kama nipo sahii?

sio uoga mkuu_ni mambo ya taadhari tu hayo,..unajua unavyoishi kwenye nyumba ya vioo usianzishe ugonvi wa mawe,...wakinuna hawana mchezo hao,....nafikiri bado hauko sahihi kuhusu suala la mapenzi kua upendo ni hela bana,...subiri utayaona ukikosa hela shemeji atakavyo respond
 
co kweli,inamaana ww unajua mpz wako anakupendea fedha,na ww upo kwa ajili ya kifedha zaid kimapenzi?

ni kweli,nikiwa sina kitu najua ndio utakua mwisho wa mapenzi,..lakn mimi mapenzi yangu kwake yapo kishepu zaidi
 
nina sh.za kutosha na dola pia ninazo,...wewe sema kama unataka sh ngapi
mi nataka laki tatu tu kwa sasa ni pm nikupe no unitumie kwa tigo pesa our jf sponsor sijui naona bango lao
 
mi nataka laki tatu tu kwa sasa ni pm nikupe no unitumie kwa tigo pesa our jf sponsor sijui naona bango lao
<br />
<br />
Usisahau kumpa zoezi la sim,mwambie akupe simu yake ukae nayo siku mbili!
 
Back
Top Bottom