kipimio cha VVU/HIV

day 24

Member
Dec 21, 2010
13
8
habari zenu wanandugu,
hivi katika kupima,baada ya kufanya tendo la ndoa inachukua muda gani mpaka kipimo kigundue kuwa damu yako imeathirika(HIV positive).
 
habari zenu wanandugu,
hivi katika kupima,baada ya kufanya tendo la ndoa inachukua muda gani mpaka kipimo kigundue kuwa damu yako imeathirika(HIV positive).

Pole sana mkuu, yaonekana meli imegonga mwamba mahali nini? Huwa tunaambiwa ni miezi 3 nadhani ujipe huo muda kujiridhisha kabisa
 
Mmh mkuu ama kweli Elimu haina mwisho,nashangaa hujui chochote khs vipimo vya vvu. Baada ya kungonoka ni miezi mitatu ndy ukapime utapata majibu.
 
HIV TEST Hufanywa baada ya miezi 3 kujua positive au negative pia baada ya kupima follow up HIV Test ni miezi 3 . Bila shaka utakua umetuelewa
 
tatizo vile vipimo tunavyotumia kwa routine HIV testing kwa mliofikia umri wa kufanya ngono vimechakachuliwa na havitoi majibu kama ilivyotarajiwa.rafiki yangu you are in big trouble!!nenda hospital utadaidiwa.
 
Pole sana mkuu, yaonekana meli imegonga mwamba mahali nini? Huwa tunaambiwa ni miezi 3 nadhani ujipe huo muda kujiridhisha kabisa

Wengine hawawezi kukaa miezi 3 bila ku do ya hata wiki ni taabu sn vipimo haviwafevi kabisa
 
By taken an avarage it seems a large number of us knew its 3 months and doctors what are you conclude here?
 
> Kwa vipimo vinavyo detect HIV antibodies,
ambavyo ni common tz, huwa reactive kuanzia wiki ya 6 hadi miezi 3 toka maambukizi .
> Kwa kipimo cha HIV DNA/RNA huwa reactive kuanzia siku ya 14 toka maambukizi. Kipimo hiki kinapatikana sehemu chache sana nchini kutokana na kuwa ghali.
Kwa tz kinatumika zaidi kwa watoto waliozaliwa na mama wenye maambukizi ili kuelewa mapema kama mtoto ameambukizwa ama hapana.
 
google ELISA TEST,ni kipimo kinachotumika sana hapa Tanzania,hugundua kuanzia siku ya 21
 
Back
Top Bottom