Anasema masuala ya
udini kwenye vurugu za Zanzibar ni hoja ya kujishikiza tu. Suala zima ni
utata wa muungano..
Wapige kura bunge tumalize kazianasema mlango wa amani ukifungwa unafunguka mlango wa vurugu. uwepo wa muungano ujadiliwe kwani katiba ya sasa inaruhusu kuuvunja kwa theluthi mbili ya kura za wabunge wa pande zote!
Mh. Tindu Lisu amefungua
mjadala wa Leo unaozungumzia vurugu za Zanzibar.
Ameanza kwakutoa historian fupi ya Zanzibar ambapo ukristo ulianza
zamani znz kuliko hata bara hivyo basi tunahitaji kutafuta chimbuko na
wahusika wa vurugu hizo