HISIA KALI
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 694
- 108
Wachangiaji wote wa studio na wale wa simu wanaonyesha kutoridhirishwa na performance ya bunge. Na kikwazo kikubwa cha mafanikio kimetajwa kuwa ni Spika wa Bunge mwenyewe kutoonyesha uongozi bora katika kuendeshe mijadala haswa pale hoja zinapotoka wa wabunge wa CHADEMA. Baadhi ya wachangiaji wamesema wazi kwamba kikao hiki cha kwanza cha bunge kwa watu walikuja na nia ya kupunguza nguvu za CHADEMA. Na wamesema wananchi wameliona hilo na kwa hiyo si jambo jema wa maslahi ya Taifa.