Dr. Petr Mateso anasema kuna conspiracy kwenye ishu ya katiba. kwamba walioitunga enzi za mwalimu walijua kama ipo siku watz wataamka na kudai katiba mpya na watakapoanza kudai tutawaambia tuwape elimu kwanza ili kupoteza/kuvuta muda.
Simwelewi kabisa huyu bana. Mi nadhani kuwa Dr bila critical thinking ni useless. Huyu jamaa anaiabisha hata familia yake. Bana sio analytical kabisa wakuu. What a pity.
Prof. Baregu anasema watanzania wa kawaida wana akili kubwa kuliko viongozi wao..hii ni baada ya kukosa matumaini ya maisha yao ya kawaida na kuamua kutokwenda kupiga kura baada ya kuonekana angiko kubwa la viongozi kutowapa matumaini wananchi kama wajibu wao
Prof. kawapa za uso Kabwe na Shibuda. Kila chama kina katiba yake. na maamuzi ya chama lazima yaheshimiwe kwa sababu yanatokana na katiba ya chama husika.
hii inanikumbusha wakati wabunge wa chadema waliposusia hotuba ya mkwere na kabwe hakuwepo bungeni bila taarifa wala ruhusa kutoka kwa viongozi wake; shibuda yeye alifika mbali kiasi cha kuvizia 'mnuso'
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.