Kipimajoto ITV Live

Nyakageni

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
15,045
5,092
Benson Bana (kibaraka) against Baregu (jembe). Baada ya pole kwa waTZ kuhusu mabomu, Baregu amchambua Makinda Fuatilia . . .
 
Catherine malila anatoa point safi sana, ana mdis makinda kuwa anapeleka bunge kubaya anashangaa wakati wabunge wa chadema wanatoka bungeni kwenye speech ya JK wabunge wa ccm walikuwa wakizomea pamoja na spika mwenyewe
 
Catherine: Kamati nyeti ya ulinzi na usalama anapewa mtu mwizi? tena bila kupingwa? 2nakwenda wapi Watz?
 
mama yupo nondo sana bana anadesa tu anamchambua vizuri spika anafaa kuolewa na tambwe ili amfundishe siasa
 
anamsifia january anataka kulisifia bunge ila anaona aibu anaiponda chadema kwa kutoka nje
 
Benson Bana anasema hotuba ya rais imejadiliwa vizuri sana. HAJUI 50% YA SPEECH ZA CCM MPs NI KUPONDA CHADEMA NA SALAMU ZA VALENTINE
 
Bana anajikanyaga tu, anaponda chadema kutoka nje wakati wa mjadala wa tafsiri ya kambi ya upinzani
 
Benson Bana anamsifia Mnyika. Anauma na kupuliza. He is hot and cold at the same time
 
Back
Top Bottom