Kipima joto: Uchaguzi mkuu 2015 je tatizo ni sera za chama au mgombea

J4EMMA

Member
Jul 14, 2013
38
6
leo kwenye malumbano ya hoja..mada nimeipenda kwahiyo wadau tuangalie mawazo ya watu juu ya..UCHAGUZI MKUU 2015 JE TATIZO NI SERA ZA CHAMA AU MGOMBEA!!!
 
Tupo Pamoja, mwaka huu sio sera wala chama bali ni watz kutaka mabadiliko yanayoongozwa na jembe lowasa kupitia UKAWA
s
 
Chama kimoja kina mgombea asiyeuzika na sera zake chakavu Kwa chama hicho vyote ni tatizo
 
Back
Top Bottom