Kipima joto ITV: Sheria ya mabadiliko ya Katiba

Mabadiriko ya katiba yakipigwa chini kwenye kura ya maoni kwa kutofanyiwa marekebisho wakati wa bunge lijalo sheri hii kandamizi itaonyesha hali tete kwa sisiem 2015.
 
Mh inaonekana mjadala ulikuwa mtam maana ninavyomjua Mnyika kwa kuchambua issues. Unarudiwa lini ili nikae kwenye luninga?? Wenye kufaham jamani tusaidiane
 
Mnafiki tu kwa nini hakupinga bungeni?

Aliyeko Bungeni ni John Momose Cheyo. Huyu anaitwa Isack Momose Cheyo siyo mbunge. UDP ina mbunge mmoja tu Bwana Mapesa. Kwa hiyo hawa ni watu wawili tofauti japo ni ndugu [mtu na mdogo wake].
 
Back
Top Bottom