Kipima joto itv live mada mikataba ya ruswa

Mtaram haki za binadam anaongelea juu ya simbion mazingira walivo pata mkataba na mikataba mingi inakuwa ya sili inatia shaka ya ruswa
 
tutabaki kuuza chai lakini hakuna kitakacho badilika
wanasheria tuliowasomesha kwa kodi zetu hawako tayari kujitolea kuendesha kesi binafsi kwa maslai ya taifa kuipinga mikataba hiyo
wapo tayari kutetea wanaotuumiza kwa kweli najisikia aibu
wanasheria jaribu kuangalia mtatusaidia vipi la sivyo kila tulicho rithi kwa wazazi wetu itabaki story
watu wanatucheka jamani
 
anasema us mikataba yao ni yawazi inakuwajee tz inakuwa ya usili mikataba amefafanuwa mkataba wa buzwag iliwai tangazwa kwamba hatakiwa mtu kuuona na ukikamatwa nao ni kosa ra jinai kunanini? Mpoo hapo? Hiyo ndoo tz
 
tutabaki kuuza chai lakini hakuna kitakacho badilika<br>wanasheria tuliowasomesha kwa kodi zetu hawako tayari kujitolea kuendesha kesi binafsi kwa maslai ya taifa kuipinga mikataba hiyo<br>wapo tayari kutetea wanaotuumiza kwa kweli najisikia aibu<br>wanasheria jaribu kuangalia mtatusaidia vipi la sivyo kila tulicho rithi kwa wazazi wetu itabaki story<br>watu wanatucheka jamani
 
hakuna mkataba wowote ambao umewai sainiwa au kabura yakuusaini ukapelekwa bungeni ametowa kifungu kwenye katiba inaonekana mikataba yote sii harali anasema ataingekuwa nikununuwa mandazi lazima iperekwe bungeni

Anasema viongozi wetu wanafanya hayo kwa sababu za ruswa
 
Mtaram wa mazingira

mikataba ya shanga ameiita kazungumzia raisi nnchi haina umeme yeye anaenda nnje wazili anasimama na kusema umeme ni hisitolia bado hakuna umeme

Raisi anaenda nnjee atapata eshima gani watu wake ni ombaomba mataifa ya wenzetu mf china japan wanaheshimika kuliko tz
 
mtaram sheria na haki za binadam

kuhusu rada reo viongozi wanaanza kugombea chenji mdaote wlikuwa wapi? Hadi wengine wakagunduwa kwamba tulizidisha pesa wataramu wetu wanakazi gani kama siiufisadi?kaielezea dowans utata na jishi walivo enda mahakamani kuzuiya tusilipe bado wanasisitiza mikataba yote iende bungeni
 
sim toka msumbij


Mikataba yote iende bungeni
watawara wa ccm waache kubezi upinzani kwenye hoja za taifa
 
mtaram mzingira

wa na nnchi tuamke wakati umefika tuandamane nguvu yauma ndoinaweza kushinikiza mikataba yote ikarudiswa bungeni tusiwaachie wabunge na wataramu peke yao hawatasikirizwa
 
hii ni mada muhimu sana kwa mikataba yote ya serikali kwenda bungeni kupitiwa upya. bora serikali nzima ijivue gamba,
 
tanzania hatuna mkataba hata 1 kufatana na katiba yetu watanzania wametuamsha kumbe tunaweza wawajibisha anasema upande wamadini si wawekezaji ni waporaji madini wanachukuwa hawaweki

kunajama kapiga sim usarama wa taifa wanaangalia wanyama wanabebwa twiga nk
 
Msando, Anasema viongozi wanaoitafuna hii nchi watambue kuwa leo wapo madarakani na kesho hawata kuwepo hivyo hizo mali za watanzania wanazopora wajue watanzania wemeamka na watakuja kuzirudisha hata kama ni kwa kujakuwafilisi wajukuu wao.
 
msako

anasema mtakamata wote sii wataisha kwa sababu ni wengi mafisadi anaamanisha selikali yote itaisha ni wizara kalibu zote zimehusika na mikataba hewa

leo umeme wamejitaid toka saa 11 jion mpaka ivi sasa angarau nimeona kipima joto
 
jama kapiga sim

anasema tusiogope mahaka za kimataifa mikataba yote tuvunje kwani haipo kishelia
 
Back
Top Bottom