Kipima joto ITV: Kauli ya Mwalimu Nyerere juu ya maswala ya udini na ukabila

meza kuu mchangiaji, ansema makosa yanafanywa na vyama vyenyewe vya siasa, inabidi vijipange katika safu zake anasema cuf walikosea hawakurirekebisha hili la udini kwa kuweka viongozi wake wa aina moja lakini tatizo limetokea mpaka sasa cuf inapoteza umarufu, anasema the same mistake happen to cdm
 
Mkuu mwita sijui amemsikia huyu kijana mwenye kipara kuhusu udini ndani ya chadema...
Nadhani na huyu hadi hapo ATAACHA KUMKUBALI HUYU JAMAA.
 
Eti uwiano!! hata Studio hakuna uwiano ni 4-1 tuache unafiki bwana.
 
Mkuu mwita sijui amemsikia huyu kijana mwenye kipara kuhusu udini ndani ya chadema...
Nadhani na huyu hadi hapo ATAACHA KUMKUBALI HUYU JAMAA.

Mkuu Miaghay nimemuona na kumsikiliza vizuri sana.
Hoja yake ni nzuri sana lakini technically una ugumu wake.
Talking of Chadema viongozi wakuu wa chama kama mwenyekiti na makamu wake wawili bara na visiwani wanachaguliwa na wanachama wenyewe sasa sijui utafanyaje kuleta usawa ambao wengine wanapenda iwe kwa mapenzi yao binafsi bila kuangalia ukweli halisi.
Kwa mfano kati ya viongozi wakuu wa Chadema wako 6 na kati yao waislamu ni wanne lakini bado mtu anakwambia kuna ukristo Chadema, hizo ndio propaganda za ccm ambazo hazitupi shida.
 
Last edited by a moderator:
Zitto_naibu katibu,said arfi _makamu na yule makamu wa zenji ni waislamu...CHEKI HII Jakaya,Pius msekwa,Wilson Mukama,John Chiligati,MWIGULU_mhazini.SWALI udini upo chama gani?
 
sijamkubali ktk suala la udini ,hajasema cha tofauti na Ponda na wengine.Akiwa kiongozi wa jopo la maridhiano na amani kwa viongozi wa dini zote TZ jamaa hakuwa responsible wala kuwa mwangalifu.Hakutumia maneno kwa njia isiyohamasisha vurugu.Kasema kuna muonekano wa wazi wa udini katika "taasisi ya elimu, na ajira serikalini" sijui tofauti na akina ponda ipo wapi? Hii kauli inaweza kuwa exploited sana na watu wanaopenda hali iwe hivyo na kuitwa ukweli.Ki ukweli kaanza poteza umakini sana,pengine kw avile upepo unamwendea vyema na pengine anakaribia kuwa to boss wa jumuia ya Kiislam TZ

Kiongozi wa mani alipaswa yasem ahayo wakiwa huko katk maridhiano na hata ikibidi agombane na yeyote anayeendekeza udini,ila katk public na hata ktk macho ya waislam wenzake aonyeshe utulivu wa hali ya juu.Sijamsikia akikemea wanaoongoza shule dhaifi za kiislam ambzo zimegeuzwa kuwa vitega uchumi vya wakuu wa shule wakishirikian na viongozi wachache wa kiislam,na wakihsafeli wanafunzi wanageukiwa baraza la mitihani.Kuna shule ni madanguro kabisa,ukiondoa Al-muntazir, jaffery ana nyingine za agha khan, shule nyingi z akiislam ni yatima na zimeathiriwa na migogoro kati ya bakwata na tasisi nyingine za kiislam, matokeo yake ni kila mtu kuchukua hela bila kuwa na mtoa hela za kuendeleza.Sasa kam sheikh hafungu mazungumzo hadi huko bado kuna shida.
 
Hebu msikilize katika video hii. Ni kama amewajibu pia wale waliokuwa wanataka swali la udini kwenye sensa. Tunapokumbuka kifo chake leo mambo haya viongozi wa CCM yanawagusa kweli? Wananchi wa kawaida je? Ni rahisi kusema kuwa tunamuenzi mwalimu kwa mdomo.
 
ccm imetumia mtaji wa udini hasa waislamu kuvuruga amani tuliyo nayo kwa kulazimisha kukaa madarakani,matokeo ya mbagala na kiongozi wanchi kikwete kushindwa kukkemea hadharani ni dalili tosha kuwa mheshimiwa anaunga mkono hayo matendo au anogopa kuwa watatoa siri za makubaliono hao waumini.kikwete ametumia ukanda kuvuruga ccm yake na hata taifa hii sio siri,na tutegemee mambo mawili kabla ya uchaguzi 2015 vita ya kisiasa hasa ccm na chadema na hii ni kutokana na serikali ya ccm kuzidiwa ngumu na hoja za chadema.lakini la pili ni vita ya dini ambayo anayesoma hii atanikumbkua kuwa ccm wako tayari waislamu na wakristo watwangane kusudi wabaki madarakani,hivi kama si busara za viongozi wa kikristo na wao wakianza kulipa kisasi kweli kikwete utapita wapi kuelekea bagamoyo?lakini dalili zote zinaonyesha machafuko makubwa yanakuja kabla ya 2015 na hii ni sanbabu ya kikwete kuwa dhaifu wa kutokukemea maovu ya makundi ya wahuni wa dini moja mungu ibariki tanzania takbihi na haleluya visitugawanye na kikwete akimaliza muda wake ahojiwe kwa haya.
 
Usalama wa taifa na police badala ya kutumia nguvu kuidhibiti CDM; bomu linakuja ni vurugu za kidini, nawaomba usilichezee hili mshaurini boss wenu - moto ukiwaka hautazimika kamwe. nchi haitatawalika.

Mi huwa nawambia kila siku vita itakayokuja si ya CDM dhidi ya dola bali na ya kidini. Na mtashangaa watu wote waliokamatwa katika vurugu za mbagala wakaachiwa bila masharti ijumaa ijayo baada ya swala kama wale waliogoma kuhesabiwa.

yaani ubishi wa watoto wadogo, inakuwa zahma, je wakristo wa mbagala wameanza kuvamia kuchoma misikiti, si watu wangeanza kujinyana nyumba kwa nyumba - hivi mnafikiri idadi ya police wanaweza kudhibiti mauaji ya nyumba kwa nyumba?

Kinachosaidia tu ni kwamba dini ya kikristo hairuhusu kulipiza kisasi.
 
Back
Top Bottom