Kipima joto ITV: Kauli ya Mwalimu Nyerere juu ya maswala ya udini na ukabila

adamu wa dodoma, anmepiga simu anasemaudini wa nchi hii unaletwa na viongozi walio na madaraka,na wala sio wananchi anasema mwaka 1995 kule zanzibar katika uchaguzi mkuu ilienezwa kuwa chama cha cuf ni chwa waislamu, leao hii chadema inanguvu wanasema chadema ni cha wakristo, tena watu hao wanagombea nafasi kubwa ubunge hata uraisi, anasema mamabo yamefika hata katika viongozi wenyewe wa dini hawaelewani
 
shekhe nakili kuwa viongozi wa kisiasa wanatumia udini kuwa win wanchi tu, maana anasema kama chadema ni cha wakristu mbona hata huko ccm kuna wakristo pia,.. kwa hiyo anasema ni akiri za wanasiasa tu, nimeipenda hii
 
Hizi propaganda za udini zililetwa na JK, na ndio mdini namba moja. Hakuna haja ya kulificha hili.
 
prof lwaitamiwa kwa sababu ,anakili kuwa mwalimu hakuwa malaika, lakini anasema mwalimu anahitaji kushukuriwa na kuenziwa, kwa sababu yeye mwenyewe alitaifisha shule za dini yake zikawa aserikalini, anasema alifanya juhudi za waziwazi kufasaidia watz bila kujadili dini yake, kwasababu hata mwalimu alipoondoka madarakani alimwachia mwislamu
 
Mwita Maranya,
Mie sio mfuasi wa Sheikh yoyote dini yetu ni haramu kumfuata mtu tuna muongozo wetu...wewe sio muislam huwezi kujua Sheikh msafi kwa Waislam hata kama una tumia haki yako itumie vizuri mie siwezi kukuambia Mchangaji Mtikila au Kakobe ni bora kuliko Pengo mie sio Mkiristo naweza kuwaona wote sawa tu, wala mie sipo hapa kumtetea Ponda nakufahamisha tu jikite kwenye hoja ya msingi utachafua mjadala.

Ritz nakumbuka uligomea sensa kwahiyo sihitaji kukuuliza kwamba wewe ni mfuasi wa nani.
Anyway tuendelee na kipimajoto ndani ya ITV. Rafiki yako Dr. Lwaitama anazungumzia kitendo cha mwalimu kutaifisha shule za kanisa katoliki na kuzifanya za umma kwa ajili ya watanzania wote.
 
Last edited by a moderator:

Ndio niligomea Sensa, suala la Sensa sio la Ponda lilikuwa suala la Waislam wote...tuendelee na mjadala.
 
shekhe nakili kuwa viongozi wa kisiasa wanatumia udini kuwa win wanchi tu, maana anasema kama chadema ni cha wakristu mbona hata huko ccm kuna wakristo pia,.. kwa hiyo anasema ni akiri za wanasiasa tu, nimeipenda hii
Hata mimi nimeipenda sana kauli ya huyu sheikh
 
mchangiaji meza kuu anakili, kuwa babab wa taifa alikuwa mtu makini anakili baba yake alikuwa mwislamu lakini alipatiwa kazi na mwalimu pale morogoro chuo cha ualimu, na sehemu ya kanisa ilitolewa ili kujengwa masikiti na jamaa anakili kuwa masista andio walioshirika kujenga huo msikiti kupitia father fraklini pale morogoro kigurunyembe chuo cha ualimu, anafunguka zaidi anasema haya yaliasisiwa na ccm na walitumia makusudu kuwapata waislamu
 
waislam wanaongoza kwa kuhamasisha waumini wao kuchukia waumini wa dini nyingine hasa dini ya kikristo,pia wakristo wanaubilia wauminiwao kuchukia wauminiwa wa dini nyingine hasa uislam mie nashauri dini zimegawanyika sana hasa tofauti zilizopo na zinaweza kutupeleka pabaya.
 
Huyu jamaa anaeongea hapa nae kaelezea vizuri sana kuwa kwanini cuf na cdm vinaonekana kama vyama vya kidini japo kuwa si kweli.
 
Ndio niligomea Sensa, suala la Sensa sio la Ponda lilikuwa suala la Waislam wote...tuendelee na mjadala.

Hivi Waislamu wote wanaongozwa na Ponda ama na BAKWATA? Kwa sababu kwa kumbukumbu zangu mamlaka halali ilisema Waislamu wasigomee Sensa.
 
simu ya pili mchangiaji anasema, misingi ya udini ipo na haipukiki anasema ipo serikalini, viongozi wa dini, na pia kwa wananchi, anasema inakuwaje baraza la mitihani tangu limeanzishwa limekuwa watendaji wa dini mmoja au viongozi wa dini nyingine hawana uwezo, na anagusia shule kufanya vizuri inakuwaje tangu shule ya 1 hadi ya 10 ni dini ileile,, anasema hayo ndio maswala yaliyosababisha wagomee sensa na kadhalika
 
Mmeona ,mwita umesema umemkubali shehe.
Unamsikia.
AJIRA ZINATOLEWA KWA KUFUATA DINI YA MTU.
Nyerere hakua malaika.
Mkuu mwita mpaka hapo bado unamkubali huyo shehe au umebadili mawazo.

Mkuu bado namkubali Sheikh Salum, hayo madai ya udini dhidi ya Nyerere nafahamu yanapotoka lakini Sheikh Salum amezungumzia kwa ujumla wake kwamba Nyerere ni binadamu tusimfanye kama nabii ama malaika kitu ambacho ni sahihi.
Alichosema sheikh Salum ni kwamba Nyerere alikuwa na uthubutu wa kukemea udini na ukabila lakini sasahivi hakuna kiongozi mwenye guts za kukemea maovu.
Jitahidi kumsikiliza na kumuelewa, usimuwekee maneno yako mdomoni Sheikh wetu wa mkoa wa Dsm.
 
mchangaji bwana hkhamisi, amepiga simu, anasema kuheshimiana kwa naigeria na rwanda na burundi kulikuja badala ya mambo kama haya kutokea so anasema serikali isipokuwa makini haya yanaweza kutokea kama ya rwanda, anasema serikali iwe makini kuepuka maswala ya ukabila, katika kazi anasema tra, nssf, banfdarini wamejaa watu wa ukanda fulani tu... wamemkatisha mpiga simu,...
 
kwa hili tunasema shule za seminari hasa za wakristo zinawekeza kwa kiasi kikubwa katika shule zao ili kuleta mafanikio.lazima zifanye vizuri tofauti na seminari za waislam ambao serikali imetupatia majengo ya TANESCO MOROGORO ili tukifanye kuwa chuo kikuu cha waislam lakini chuo hicho kwa sasa kinaelekea kufa wanafunzi wanakikimbia,tuone vyuo vya wakristo vinazidi kukua.
 
Huyu jamaa anaeongea hapa nae kaelezea vizuri sana kuwa kwanini cuf na cdm vinaonekana kama vyama vya kidini japo kuwa si kweli.

Huyo ni mwanaJF mwenzetu omarilyas.
Kwakweli leo amezungumza vizuri sana katika siku ambazo nimepata kumuona, kumsikiliza na hata kumsoma.
 
Back
Top Bottom